PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,316
Wakuu Leo katika pitapita zangu viunga vya jiji hili la dar es salaam nimekutana na benk ya mwalimu hapo mwanzo sikujua Kama Kuna benk ya walimu kabisa.
Sasa ikanibidi nimuulize rafiki yangu ambaye ni mwalimu pia juu ya benk hii na yeye anasema anaifahamu lakn s kihivyo nikamuuliza juu ya benki ip ambayo mshahara wake unapitia akaniambiani benk ya NMB kwakwel nilishikwa na butwaa juu ya jibu hili wakuu.
Iweje walimu waanzishe benk lakn wao wenyewe wasiwe wateja wa benki hiyo.
Au hii benki ilianzishwa kwa malengo gani mahsusi wakuu? Maana walimu n wengi Sana nchi hii Kama wangetumia benk hii nadhan benk yao ingenufaika Sana kwa huduma mbalimbal za kibenk ambazo huendana na makato yake.
NDUGU ZANGU WALIMU MNAKWAMA WAPI JAMAN? yeyote mwenye uelewa juu ya hili naomba ufafanuz tadadhar akipatikana mwl itakuwa njema zaidi.