Recent content by inspector shamba

  1. inspector shamba

    Series (Special thread)

    Hizo ndio pictures, you should refer
  2. inspector shamba

    Series (Special thread)

    Kwa wale wanao tumia simu, tabs na iPads kudownload movies, series etc. I recommend for these Apps. Hauto hitaji tena kwenda kwenye sites kama KAT, Extratorrent, etc. Huku unaandika tu jina la movie au series na kudownload. Very simple. Kuhangaika kwangu kutafuta best Apps baada ya kuwa na...
  3. inspector shamba

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Heshima kwako Mtu mzito. Nina swali moja. Nini tafsiri ya ndoto unayo ota unapaa? Kwa kumbukumbu zangu ndoto hii nimeisha iota mara tatu mara ya kwanza 2007 baadae 2012 na 2014 kama sija kosea. Naomba majibu mkuu.
  4. inspector shamba

    Mrejesho: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

    Hakika Yesu alikuja wakomboa walio na dhambi. It is never too late.
  5. inspector shamba

    Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

    Hapo sasa ndio tunapo ona wàsanii wanatumia sanaa yao kui reflect jamii.
  6. inspector shamba

    Series (Special thread)

    Wale wafwatiliaji wa da Vincis demons. S3 ishatoka.
  7. inspector shamba

    Msaada wa kisheria, kesi ya matusi na kudhalilishwa

    Mnakutana na mkuu wa gereza kwa ajili ya nini?
  8. inspector shamba

    I am Single

    Absolutely can workout very well. Money can not change how someone walks but can change how someone talks. Money can't buy you love but can buy you bitches. Nenda ukasome dogo.. Kesho nitaota quiz darasani. Achana na mapenzi kwa sasa, mnatupa uchungu wazazi wenu.
  9. inspector shamba

    I am Single

    😀😀😀😀😀😀 Your not ready for love relationship unless you have chose to fail in your studies. Kuwa kuwa kidogo..mapenzi waachie wakubwa.
  10. inspector shamba

    Msaada wa kisheria, kesi ya matusi na kudhalilishwa

    Kateni rufaa. Maranyingi kesi ya rufani mahakama inacho fanya nikupitia mwenendo wa kesi usika, kuangalia sheria na procedure kama zili fwatwa na kisha kutoa hukumu yake. Ngoja waje wanasheria wata kupa msaada wa kisheria zaidi.
  11. inspector shamba

    Msaada wa kisheria, kesi ya matusi na kudhalilishwa

    Inarusiwa. Mpaka mzee anakutwa na hatia mlikuwa mahakama gani?
  12. inspector shamba

    Msaada wa kisheria, kesi ya matusi na kudhalilishwa

    Kama mahakama ime mtia hatiani tayari. Hakuna jambo lingine la kufanya zaidi ya kukata rufaa. Ili mahakama ya juu ikapitie tena hiyo kesi na kuangalia kama kuna uwalali wa maamuzi kuendelea au kutenguliwa. Unajua kwa jinsi hii case ulivyo tueleza hapa awali sio rahisi kwa mzee wako kutiwa...
  13. inspector shamba

    Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura Na. 343 "KUHUSU KUKAA MITA 200" Inasema .......

    Hizo sheria zote mbili yaani sura Na. 343 na Na. 292 Naziona zipo silence na sijui position ya law inakuaje pale ambapo sheria yenyewe imekuwa silence? Kifungu cha 104(1) sura Na 343 naona kimebeba sharti linalo kataza kufanyika kwa MKUTANO ndani ya mita 200. Nataka kujua uhusiano uliopo...
  14. inspector shamba

    Huyu mzungu atanikubali kweli?

    Acha kujichimbia kabuli. Tabia za kizungu unazo ziona kwake zisikuponze mkuu.
Back
Top Bottom