Let CDM thank HIM, He has brought in some maturity to politics. I'm pretty sure also that, CCM has learnt a big threat from Oppostion due to HIM, 2015 Move wasnt that easy! CCM really won the election the hardway.
Nevertheless, Since EL has inclined to the current regime, Let CDM advise HIm to...
Tanzania,
Tunamhitaji Lissu awe Rais wa Tanzania 2020. Mungu hakika ana Makusudi na Mtu huyu, Watanzania Tumlinde kwa kila hali usiku na Mchana 24/7. Wanaoweza Kumnunulia Armoured Car wafanye hivyo, kama tunataka aishi nasi mpaka 2020, vinginevyo WAPUUZI waliotaka kuutoa Uhai wake...
Hoja Mujara
Hoja Mujaraaab Sana hii! Naunga mkono sana tangu zamani. Rafiki yangu daktari wa afya ya akili aliwahi nieleza WATU WENGI HAPA TZ NI VICHAA INGAWA HAWAOKOTI MAKOPO BARABARANI.
Kuna degree kadhaa za ukichaaa! Ukiona Mtu anaokota makopo ujue imefikia hatua ya juu! Na dalili zipo za...
Wadau,
Nipo Dar, ila nimeamua kununua mahindi mkoani Rukwa kwa minajiri ya kuyatunza na kuuza baadaye wakati wa uhitaji. Maana wakulima wengi huuza mazao yao yote na wakati wa masika huteseka kwa kukosa akiba ya chakula nafaka.
Swali langu ni je ipi dawa sahihi, au njia sahihi ya kuyahifadhi...
Yaahirishwe tuuu! Kwani dhana ya UKUTA imeshaeleweka na ni wao wenyewe wameicheza ngoma bila kujua! This is called PUBLICITY IN THE MAKING! Akili ndogo haiwezi kuitawala kubwa kamwe! Asante kwa waliosaidia kuutangaza UKUTA bila wao wenyewe kujua wamesaidia kampeni hiyo kueleweka mpaka vijijini...
Wana Jamvi,
Baada ya kupiga kura mnashauriwa mrudi nyumbani mkasubiri matokeo huko! Hivi si yanabandikiwa Kituoni? Au Tume itapitisha matokeo nyumbani kwa kila mpiga kura?! Na yakiwa tayari kubandikwa kituoni, tajuaje tayari yamebandikwa na Mie sipo hapo Kituoni?
Nani hasa alitunga hii sheria...
TUME YA UCHAGUZI,
Naomba maelekezo, nikipiga kura niende wapi? Milango na Madirisha ya nyumba yangu vinatazamana na kituo cha kupigia kura kiasi cha umbali wa mita 50 hivi..Nikipiga kura nikae nyumbani kwangu au niondoke? Na nimezoea jioni kukaa nje nikibarizi upepo mzuri na kucheza bao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.