Chumba cha kaburi alimozikwa Yesu chafukuliwa tena

Status
Not open for further replies.

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,729
Chumba kidogo kinachofunika kaburi ambako inaaminika Yesu Kristo alizikwa kimefunguliwa rasmi tena baada ya kufanyiwa ukarabati kwa miezi tisa.

Chumba hicho ambacho kinapatikana katika Kanisa la Kaburi la Yesu Kristo katika maeneo ya mji wa zamani wa Jerusalem kilikuwa kimekuwa dhaifu sana kiufundi.

Aidha, kilikuwa limebadilika rangi na kuwa karibu rangi nyeusi kutokana na masizi ya mishumaa mingi ambayo huwashwa eneo hilo.

Mzozo kati ya madhehebu matatu ambayo kwa pamoja husimamia kanisa hilo - Kanisa la Kiothodoksi la Ugiriki, Kanisa la Kiarmenia na Kanisa Katoliki la Kirumi - ulichelewesha ukarabati huo kwa miongo mingi.

Antonia Moropoulou, aliyesimamia ukarabati, amesema chumba hicho sasa kimepata tena rangi yake asili inayokaribia hudhurungi.

Chumba hicho kilifanyiwa ukarabati mara ya mwisho mwaka 1810.
_95262382_gettyimages-619006954.jpg
 
Kaburi la Yesu!!!! Yesu huyu Issa!!

Nabii Issa hakufa wala kuteswa, makafiri walipewa mtu anaefanana nae wakadhani ndio Yesu.

Ndio Maana mpaka leo makafiri wanaamini kuwa Yesu alikufa kisha akafufuka.
Makafiri ni nani?

View attachment 484839
 
Kaburi la Yesu!!!! Yesu huyu Issa!!

Nabii Issa hakufa wala kuteswa, makafiri walipewa mtu anaefanana nae wakadhani ndio Yesu.

Ndio Maana mpaka leo makafiri wanaamini kuwa Yesu alikufa kisha akafufuka.
Futa ilo neno makafiri, maana inaonekana unawajua wakati sio kweli. Wakati wanakabidhiwa ulikuwepo? Au ndio umelithi mapokeo ya hadithi ulizosimuliwa?
 
Kaburi la Yesu!!!! Yesu huyu Issa!!

Nabii Issa hakufa wala kuteswa, makafiri walipewa mtu anaefanana nae wakadhani ndio Yesu.

Ndio Maana mpaka leo makafiri wanaamini kuwa Yesu alikufa kisha akafufuka.
Unamaanisha huyu huyu aliyezikwa mkono mmoja ukaachwa nje na mbwa wakajifanyia kitoweo!
 
Makafiri ni watu wasioamini Qur'an takatifu pamoja na sunna za mtume wetu SAW (PBUH).

Sindano imepenya hiyo!!
Hamia Pakistan ndo utapata mdomo wa kutapika unalotaka kutapika hapa ni mapokeo. Mwenyewe wewe ni mapokeo ya hao unaodhani ni wakweli. Wewe ni mtumwa hasa na bado minyororo haijafunguka kwako. Unasubiri boti uende oman.
 
Makafiri ni wanaoamini katika majini,na uganga wa kina shehe majini,wale wajanja tunakunywa nao mtungi na Noah,si unajua hii maneno hufukuza majini
 
Kifungu kipi boss...
Kutoka kwenye Qur'an takatifu ama Bible.

Kama ni Bible (agano la kale ama jipya)
Kuwa specific nikushushie Nondo hapa.
Weka kifungu au maneno ya sehemu ya historia ya kuzaliawa issa kutoka Qur'an na Kuzaliwa Yesu kutoka Biblia.
 
Makafiri ni watu wasioamini Qur'an takatifu pamoja na sunna za mtume wetu SAW (PBUH).

Sindano imepenya hiyo!!
Na wasioamini Bible na mafundisho yake wanaitwaje? Wasioamini Ubudha nao jina lao ni lipi? C ktk jina lako halikuwepo muulize vizuri mzee.
 
Kifungu kipi boss...
Kutoka kwenye Qur'an takatifu ama Bible.

Kama ni Bible (agano la kale ama jipya)
Kuwa specific nikushushie Nondo hapa.
Bible ndo nini sasa? Unaitambua kumbe uwepo wake. Vitaje na vya kibudha, navyo ni vitabu vya haki kwa jamii husika.
 
Sawa kafiri niah
wewe ndo kafir hasa sababu huyo unayemuona ni mtume hana hata history mbona hata kaburi lake halifanyiwi utafiti ili tujue kuwa ndo yeye na je alikufa mwaka gani na alikufa kifo gani na je alikuwa na miaka mingapi? Twende Kabba tufungue tuache kuabudu jiwe la kimwondo llililopo nje tuone mwili au mifupa ya mtume ndo tuamini. Mimi kafir lakini wewe utakuwa ndo kafir mkubwa kwa kuaminishwa kitu ambacho huruhusiwi hata kuhoji.#
 
Vyovyote, lakin cha msingi ni kuwa mimi ni Padri niliye achana na Ukafiri.
Ulikuwa zuzu hadi ukubwani, umekitumikia cheo usichokijua miaka yote. Inaonesha ubongo wako una thamani kubwa sana sokoni, haujatumika kabisa.

Unatumia wa wengine tu kwa kukaririshwa. Padri hivi ni kiongozi wa nini? Kuna mapadri ktk uislamu nako au bado unakitumikia cheo cha makafiri?
 
Hivi kaburi la yule jamaa aliyekuwa hajui kusoma wala kuandika ndio wanalizunguka na kukanyagana bila ya kuvaa vyupi huku wakitupa mawe!!?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom