I Insabhunsa Gusa Senior Member May 13, 2011 109 88 Jan 20, 2016 #1 Prof. Ndalichako, lini utatupa ada elekezi SHULE BINAFSI ZA MAMILIONEA??! Maana naona kimya tuuu!! AU HILI JIPU HALITUMBULIKI???!
Prof. Ndalichako, lini utatupa ada elekezi SHULE BINAFSI ZA MAMILIONEA??! Maana naona kimya tuuu!! AU HILI JIPU HALITUMBULIKI???!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,666 729,805 Jan 20, 2016 #2 Kwenye free Market Policy hili jambo ni gumu kutekelezeka