Recent content by InnovatorTz

  1. I

    Tumia chumvi kufanya scrub na kuboresha ngozi yako

    Habari, Leo katika urembo tunakuletea namna ya kufanya scrub kwa kutumia chumvi na maji ya baridi na kuonekana wa kisasa zaidi. Utumiaji huu ni wa salama zaidi na watumiaji wamethibitisha swala hilo kwa asilimia 100%. Chumvi ni kiungo muhimu kwa kila mlo pia inaumuhimu mkubwa katika urembo...
  2. I

    Napenda sana kuwa model

    Nenda Instagram watafute Theinnovationhouse2014 au wasiliana nami kwa namba +255783835253
  3. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    Nitanzania pekee mtu anasema I Love You then anasubiria jibu kana kwamba kauliza swali?
  4. I

    Kweli tutafanikiwa kwa mabadiliko ya kuingia vyuo kwa diploma GPA 3.5 kupanda juu, tuoneeni huruma

    Hujui kuchanganua mambo. Inaonyesha ni jinsi gani huli matunda. Umekosa vitamini kichwani mwako
  5. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    #NiTanzaniaPekee Laini za simu (Idadi ya Laini za simu na watumiaji wa mtandao) ni wengi kuliko idadi ya watanzania kwa ujumla
  6. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    #NiTanzaniaPekee mtu anathamini sana kula mizizi ili kuimarisha nguvu za kiume kuliko wakati ulaya mtu anakula mizizi na diet mbalimbali akizingatia kuna faida zipi katka ubongo wake na Afya ya akili yake
  7. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    #NiTanzania Pekee wanaofeli form Four ndio wanaopata nafasi ya kwenda kusomea ualimu
  8. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    Mkuu hii ni kweli kabisa #NiTanzaniaPekee hahahahaha
  9. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    #Nitanzania pekee mtu haelewi kichwa cha habari cha thead lakini ana andika maoni yake
  10. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    Hahah boss mimi ni innovater kuliko unavyo zani #Nimtanzania pekee niliye fanya mabadiliko katika sector ya fashion
  11. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    Hahah #NitanzaniaPekee mkuu ukiona hivyo ujue Elimu ya uandishi wa habari haipo
  12. I

    Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

    1.Ni Tanzania pekee ambapo mtumishi wa chini wa serikali anae pokea mshahara wa milioni 1 kwa mwezi anatembelea gari la milioni 380 (Toyota Laind Cruzer V8) 2!. Nitanzania pekee mwanafunzi anafika mpaka form 4 hajui kusoma wala kuandika.
  13. I

    Photographer and model trainer wanahitajika na INHB

    Hello. Kama unaijua The Innovation House Brand basi utajua ni nini ninachozungumzia. Kwa wale waliopo instagram account hii ya instagram @theinnovationhouse2014 mtakuwa mnaijua kama hujaijua basi itazame. Sasa kampuni imekosa photographer na Fashion model trainer kwa hapa Tanzania na Spain...
  14. I

    Photographer na fashion model trainer wanahitajika The Innovation House Brand

    Hello. Kama unaijua The Innovation House Brand basi utajua ni nini ninachozungumzia. Kwa wale waliopo instagram account hii ya instagram @theinnovationhouse2014 mtakuwa mnaijua kama hujaijua basi itazame. Sasa kampuni imekosa photographer na Fashion model trainer kwa hapa Tanzania na Spain, sasa...
  15. I

    Tunahitaji photographer mwenye camera nzuri tuungane nae kufanya biashara na kujiweka kimataifa

    Hello. Kama unaijua The Innovation House Brand basi utajua ni nini ninachozungumzia. Kwa wale waliopo instagram account hii ya instagram @theinnovationhouse2014 mtakuwa mnaijua kama hujaijua basi itazame. Sasa kampuni imekosa photographer kwa hapa Tanzania na Spain, sasa kama unajijua wewe ni...
Back
Top Bottom