Tunahitaji photographer mwenye camera nzuri tuungane nae kufanya biashara na kujiweka kimataifa


I

InnovatorTz

Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
23
Likes
21
Points
5
Age
47
I

InnovatorTz

Member
Joined Jul 1, 2016
23 21 5
Hello.
Kama unaijua The Innovation House Brand basi utajua ni nini ninachozungumzia. Kwa wale waliopo instagram account hii ya instagram @theinnovationhouse2014 mtakuwa mnaijua kama hujaijua basi itazame.
Sasa kampuni imekosa photographer kwa hapa Tanzania na Spain, sasa kama unajijua wewe ni photographer na una ndoto sikumoja kazi zako zifike mbali zaidi basi tunaomba tuwasiliane hapa
+255783835253 (Whatsapp)
+255656660223 (Call)
 

Forum statistics

Threads 1,235,898
Members 474,861
Posts 29,239,807