Andika Jambo lolote Ukianza na nene #Nitanzania Pekee

InnovatorTz

Member
Jul 1, 2016
23
23
1.Ni Tanzania pekee ambapo mtumishi wa chini wa serikali anae pokea mshahara wa milioni 1 kwa mwezi anatembelea gari la milioni 380 (Toyota Laind Cruzer V8)

2!. Nitanzania pekee mwanafunzi anafika mpaka form 4 hajui kusoma wala kuandika.
 
#NiTanzaniaPekee mtu anathamini sana kula mizizi ili kuimarisha nguvu za kiume kuliko wakati ulaya mtu anakula mizizi na diet mbalimbali akizingatia kuna faida zipi katka ubongo wake na Afya ya akili yake
 
Back
Top Bottom