Recent content by INNOMATHEU

  1. I

    JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Mwanadamu hakuumbwa na Mungu.

    AKILI ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI!!! NA KIWANGO CHA BINADAM CHA MWISHO CHA MAARIFA AMBACHO NDICHO KINAIPA FAHARI DUNIA HII KWA MUNGU NI UJINGA!!! UTAFUTENI UFALME WA MBINGUNI MAANA SAA YA KUREJEA KWAKE IMEKARIBIA, MCHENI NA KUMTUKUZA MAANA YEYE NI MUNGU!!! Ikiwa kuna mmoja miongoni mwa binadam...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

    S8 plus ina uzwa tsh ngapi?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CUF wa Maalim Seif wavamiwa na watu wenye "mask". Wanachama na waandishi wapata kipigo

    Mimi ninachojua ni jambo moja tu, KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA JAMBO LITALETWA HUKUMUNI.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nyoka ni marafiki zetu na sio maadui, tusiwadhuru bila ya sababu bali tujenge nao urafiki

    Aisee! Mungu atusaidie. Mpendwa kajifunze juu ya habari hii tena, amani ya Bwana na iwe pamoja nawe. Amina.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nyoka ni marafiki zetu na sio maadui, tusiwadhuru bila ya sababu bali tujenge nao urafiki

    Iliyemuongelea katika kitabu cha kutoka pale bustanini eden ni huyu huyu nyoka uliyemsema. Ila katika mazingira tofauti hasa ya unabii katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana na Daniel biblia imetumia lugha ya joka ikimaanisha shetani mwenyewe! Hapa unaswa kuwa na hekima kuutambua unabii na...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nyoka ni marafiki zetu na sio maadui, tusiwadhuru bila ya sababu bali tujenge nao urafiki

    Wewe na MUNGU ni nani anaefahamu vizuri kilichofanyika eden? Ni nani mwenye busara na hekima kati ya Mungu na wewe? Unamaanisha Mungu alimuonea nyoka alipomlaani? Tuyaheshimu maandiko na tuwe na hofu kwa chochote kinachopitia mkono au tamko la Mungu. Kasome maandiko kwa kirefu na kutafakali...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ni wapi vinapatikana vifaranga vya kuroiler Tanzania?

    Asante sana mkuu (Ginner) Nimeongea nao jamaa kiasi fulani wamenipa mwanga mkubwa juu ya hizi generation za hawa Kuku na pia nimejifunza mengi japo ilikuwa kwa njia ya simu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ni wapi vinapatikana vifaranga vya kuroiler Tanzania?

    Wapi wanauzwa kwa bei hiyo ni hapa hapa Tz?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ni wapi vinapatikana vifaranga vya kuroiler Tanzania?

    Yawezekana, ni wapi pengine wanapatikana
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    Majani kwa maana ya mboga mboga? Kama mchicha, ndicho unachomaanisha mkuu
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    Ni kweli ni wazuri mimi niliwapata kutoka silverlands. Ila wanashida moja inayonikera! Wanadonoana sana japokuwa nawapa Chakula muda wote na vitamins zote zinazotakiwa. Mpaka sasa wameshakufa watano kwa kutoboana matumbo, na wanawiki tano sasa.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ni wapi vinapatikana vifaranga vya kuroiler Tanzania?

    Imenifaa sana. Asante
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ni wapi vinapatikana vifaranga vya kuroiler Tanzania?

    asante sana
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ni wapi vinapatikana vifaranga vya kuroiler Tanzania?

    Ninaweza kupata mawasiliano yake? Naomba tafadhari hata kwa inbox
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    Ndugu yangu hawa Kuroiler kwa Tanzania nawapata wapi? Mi niko mwanza
Back
Top Bottom