INNOMATHEU
Member
- Jan 9, 2015
- 60
- 20
Kama kuna mtu anafahamu eneo au kikundi au shirika ambalo linadharisha vifaranga wa kuku aina ya Kuroiler hapa Tanzania hususani Mwanza, naomba anifahamishe.
Kuroiler ni kuku kutoka india na pia wanapatikana Uganda. Ni vizuri wakawa harisi (F1), wasiwe wamechakachuliwa.
Ahsanteni sana.
Kuroiler ni kuku kutoka india na pia wanapatikana Uganda. Ni vizuri wakawa harisi (F1), wasiwe wamechakachuliwa.
Ahsanteni sana.