Recent content by Inno Datus

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nampenda, ila kubadili dini naona ukakasi

    Kama unampenda sana badili dini alafu oa wake wanne akikuuliza mwambie dini inaruhusu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

    Kuna tofauti ya kiongozi na mwanasiasa, kiongozi yupo kwaajili ya maslahi ya wananchi lakini mwanasiasa yupo kwaajili ya maslahi binafsi. Tanzania imejaa wanasiasa na ndio maana hata maslahi ya chama yanapewa kipaumbele kuliko maslahi ya nchi.
  3. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Itakua jambo jema kama mamlaka husika ikikaa na ikafanyia kazi maoni haya, walau tutakua tumepiga hatua kitechnolojia.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Napendekeza uandaliwe mwongozo maalum unaolezea mambo yanayopaswa kuzungumzwa kuhusu serikali

    Shida wanaamini kwamba wao ndio wanajua kuliko raia wa kawaida
  5. I

    JamiiForums Tanzania Panya road: Ni vibaka wanaoshirikiana na Polisi?

    hatari kweli
  6. I

    JamiiForums Tanzania Huwa unachukua hatua gani kuhusu hili

    Kama unaishi kwa wazazi suluhisho ni kuhama tu, ila kujibizana na mzazi sikushauri asee
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mgeni ishi vizuri na wenyeji

    Kweli kabisa, siku akipata tatizo wakati anahitaji msaada ndo atajua ni wabishi na hawana akili.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Polisi Arusha wadaiwa kumpora mfanyabiashara milioni 3, watupwa lokapu

    hao ndo polisi wetu wanaotulinda sisi na mali zetu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Urusi yafunga bomba kuu la gesi kwenda Ulaya

    Kikubwa ni kwamba wote wataathirika
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Madhara ya kisasi hua ni makubwa sana, usijaribu kulipiza kisasi utakuja kujutia. Inaonekana kabisa huwezi kuishi bila mumeo, ilitakiwa uchukue hatua mwanzoni baada ya kuona masuluhisho hayafanyi kazi umuache na maisha yake kuliko kuishi na maumivu kila siku. Hata hivyo bado una muda wa kuamua...
Back
Top Bottom