Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,292
- 1,867
Habari za jioni.
Kumekuwa na tabia ambayo Mimi naitafsiri sio nzuri.Wewe mgeni msomi ama sio msomi.Kubali upo ugenini na ishi vizuri sana na wenyeji.
Baadhi ya wageni wakifika aidha kijijini au mjini wanataka kutunisha misuli kwa wenyeji(sawa tunisha kama puto wenyeji watakuja na pini watoboe puto)
Unawanyanyasa wenyeji eti wabishi eti wanajifanya eti hawana akili eti mabishoo sana shauri yako yatakayokukuta mwanakulitafuta ugenini.
Huko makazini wabadilisheni Kwa hekima ya haki ya juu.Kuwafanyia hujuma na mabavu watawashitaki sehemu isiyo na ofisi mhangaike msijue la kufanya muwe na adabu wenzenu hawana la kupoteza ohoooo haya.
Ooooh kijiji kile manunda kwenu hakuna manunda.Watumieni wenyeji wote mfanikishe yaliyo mema.Iweje wewe mgeni unataka umfukuze mwenyeji kwenye himaya yake shauri yako wewe usie na adabu wala haya.
Jiwe hili gizani likawe funzo kwa wasio na adabu ugenini hao wenyeji sio mambumbumbu wakikataa kufanywa wajinga msiwachukie na kuwapaka matope narabuuku sana.