Recent content by Inner victory

  1. Inner victory

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA teteeni nafasi yenu ya KUB na ACT Wazalendo watoe Makamu wa Rais Zanzibar. Nafasi ya Rais CCM haipingiki

    Nitoe angalizo, hii nchi ni yetu sote. Wacha kila mmoja apractice haki yake kikatiba.
  2. Inner victory

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

    HUYU ATAKUWA KAUMIA KICHWA AMA MGUU??
  3. Inner victory

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Nini, Jamhuri???? Cheusi chekundu.
  4. Inner victory

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa zilipo ofisi za wizara ya elimu, sayansi na teknolojia

    Habari za asubuhi wakuu.. Naomba mnielekeze sehemu zilipo ofisi ya wizara ya elimu, sayansi na teknolojia hapo Udom.
  5. Inner victory

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wengi hujivunia sana makalio yao?

    Satan knows it better, ask him..:oops::oops:
  6. Inner victory

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, ifanye Septemba mosi 2016 kuwa siku ya mapumziko

    Kitu nilichogundua, ni kwamba Katiba haina umuhimu kwa mtanzania... Ni heri ifutiliwe mbali tu.. Na najua waTz wengi hatujui umuhimu wa katiba na mambo yaliyopo ndani yake..
  7. Inner victory

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza napingana na Serikali... Acheni CHADEMA waandamane!

    Mtoa post sio kosa lako, tatizo umekula maharagwe yaliyo na kinyesi tayari. Tapika kwanza ndo upost.
  8. Inner victory

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye udhibitisho wa kisayansi kuwa nchi hii imekosa "direction flight "

    Ushahidi wa kisayansi.[emoji86]. Labda unamaanisha nimchukue mtu mwenye uchumi hewa nikampime afya yake then nikuletee majibu.
  9. Inner victory

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

    Angalia vzuri, wasijekuwa wamegundua ni mwanafunz hewa. Sababu hawachelewi.
  10. Inner victory

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Lala bado unaota.
Back
Top Bottom