Inner victory
Member
- Nov 13, 2013
- 48
- 10
Habari za asubuhi wakuu.. Naomba mnielekeze sehemu zilipo ofisi ya wizara ya elimu, sayansi na teknolojia hapo Udom.
Njoo UDOM uki fika ulizia gali za social bondeni panda hizo hizo afu ushuke mwisho wa gali linapo geuzia uki fka 2 apo ulizia uta elekezwa sio mbali na unapo shukia.
Hahaahah!!! Poa mkuuzipo UDOM. ila ubebe cheti original
chukua gari hapo jamatini kuelekea udom ukifika kituo cha njiapanda shuka uliza dereva Boda boda watakueleza