Migodi tu na rasilimali kama mbuga za taifa na hifadhi vilikua vyanzo tosha sana kuendesha nchi hii. Ila tu kama pangekua na usimamizi madhubuti. Matokeo yake, hela yetu ileile tunayoibiwa hapa inarudishwa kama mkopo/msaada. Tunatawaliwa bila kujua, matokeo yake, anayekupa mkopo anaweza...