Huu ni Mwaka Ambao hata Kesho Wananchi wakiruhusiwa Kupiga Kura wanaweza, bila hata Campaign kufanyika. Naona Mwamko ni mkubwa na hari ni kubwa. Naona karibu kila Mwananchi ameshakua na maamuzi yake tayari kichwani. Kila kona ukatizayo ni POLITICS TUU!! Asbh Wananchi wengi wamejazana sehemu zinazouzwa magazeti, ili tuu hata Headings zisiwapite. Wanahitaji Information ya kinachoendelea. Hakika hali hii haitatokea tena Miaka ya hivi karibuni.