Recent content by INGENJA

  1. INGENJA

    Je, tulihitaji treni ya umeme zaidi ya mengine?

    Kwa mahali tulipo tulitakiwa kuwa na mradi wa namna hii kabisa hasa ukizingatia sisi ni hub ya East&central Africa sema utekelezaji wake haujafanywa kwa usahihi na watu sahihi ndio maana mradi umegeuka kuwa laana nadhani hata ukikamilika utakuwa na mapungufu mengi na majuto mengi Kuna njia...
  2. INGENJA

    Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

    We unayejua umeishia kututukana ili tuendelee kuusambaza umbumbumbu wetu kwa wengine!! Huoni ni hatari zaidi kututukana kuliko ungetuelimisha
  3. INGENJA

    Vietnam War: Udhaifu wa Idara za Ujasusi Marekani zilipelekea kushindwa kwa Marekani vitani

    Nipropaganda za wa Marekani kuonyesha ubora wa jeshi lao ila pia wakati mwingine huonyesha mission walizo fanikiwa maana vita haipiganwi usiku mmoja
  4. INGENJA

    Utafiti: Wavuta sigara ni moja ya binadamu wenye akili ndogo

    Huyu mwanaume jawanyegesha mpaka mmekojoa kwenye bikini zenu
  5. INGENJA

    Yanayoendelea Maofisini kwa sisi Vijana

    Tukumbuke pia ni age iliopugwa sana na UKIMWI bila kusahau wakati mama anaruka nawewe huku baba nae anaghaharamiahuko kwa girlfriend
  6. INGENJA

    Lighter Touch: Ule uvumi ungenoga hivi leo

    Still you escape the fact mnaendeleza vijembe vilevile hatutibu tunazidi kubomoa raisi kapata narrow picture ya wananchi anao waongoza na kilichopandwa na yeye kwa chuki zake
  7. INGENJA

    Tujikumbushe majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani

    Salvatory Edward "Dokta" Victor costa "nyumba" Edbil lunyamila "lunya"
  8. INGENJA

    Tujikumbushe majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani

    Kacheza zote bhana ila Yanga nyumbani kwao
  9. INGENJA

    Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Lissu na kauli ya majuzi meko anazungumza kuhusu mbunge aliepewa jimbo lake unaizungumziaje
  10. INGENJA

    Mwanza: Wananchi wamuua askari mgambo kwa kumpiga na kumzamisha ziwani

    Huko sio dar mtaa mzima mnapigwa na mgambo mpaka mnazirai kisa hamjazoa taka
  11. INGENJA

    Ndege yaanguka hifadhi ya Serengeti Tanzania, yaua wawili akiwepo mtoto wa CDF Jenerali Mabeyo

    Ufanunuzi kidogo ndugu yangu nimekuta mohali wanasema hizi ndege nichakavu sana na nizamuda mrefu hata service ni nadra kwamba rubani akiingia huko akaona GPS inasoma kinakurupuliwa chombo na ina injini moja tu
  12. INGENJA

    Ajali njiapanda ya kilingeni

    Uskumani huku ulikuwa unalazwa nafisi kama umeoa jet yanamna hiyo usiku ikichomoka inakuachia fisi
  13. INGENJA

    Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya

    Na mwandishi wa hii post ni mwanamke malaya!!
  14. INGENJA

    Yaliyomkuta mzee mengi kwenye ndoa yake, ndo yanayowakuta wanaume wengi wa tanzania

    Umeongea kiume mwanangu,hata mimi nilimwambia wife kama huta niheshimu mimi waheshimu watoto wako,hiyo nijuu yake akitoka nje kupigwa miti niyeye siku nayo jua ndio tamati muda wakuwindana sina aisee
Back
Top Bottom