Yanayoendelea Maofisini kwa sisi Vijana

Yanayoendelea Maofisini kwa sisi Vijana

Tukumbuke pia ni age iliopugwa sana na UKIMWI bila kusahau wakati mama anaruka nawewe huku baba nae anaghaharamiahuko kwa girlfriend
 
Kuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama watu wazima hapa naongelea wenye age ya 40+ kututaka kimapenzi sisi vijana maofisini, manake tunasumbuliwa sana ukiwa kijana smart, HB wanajigonga balaa

Utakuta mmama anaanza mazoea ya ghafula mara umependeza, lift nyingi sometimes anakwambia ntakuwa nakupitia kituon sehem flan tuje wote ofisin. Ataanza kuomba baadhi ya seminars mwende wote, mtaanza mawasiliano unakuta unachat na mmama mzma ujinga hadi sa7 usiku daah wtf?? Anaanza jitongozesha aisee hii hali inatishaa. Nashukuru mungu haya majarib huwa nayakimbiaa japo ni ngumu sana.

Hio ndo hali halis kwa sasa kama hamfaham walioko maofisn wanajua. kama bado bhs ajiriwa ndo utajionea laivu. Kuna uchafu mwingi unafanyika nyingine siri za ofice. USIKU MWEMA WAKUU

Kinachofanyika ni exchange tuu, wanaume 40++b wanakula mabinti wabichi 20++ ambao nyie vijana mnawakimbia majukumu. Sasa na nyie vijana 20-30 mnakula wamama 40++ na wanawahudumia, shida iko wapi?
 
Ngoma droo[emoji23]
 
Kuna mchezo mchafu sana unafanyika maofisini kama kuna wazee wa age za 45+ huu ni uzi wenu kaeni mkijua hali ya sasa ni mbaya sana. Hawa wake zenu sijui wamewashindwa. Kuna kimchezo cha wamama watu wazima hapa naongelea wenye age ya 40+ kututaka kimapenzi sisi vijana maofisini, manake tunasumbuliwa sana ukiwa kijana smart, HB wanajigonga balaa

Utakuta mmama anaanza mazoea ya ghafula mara umependeza, lift nyingi sometimes anakwambia ntakuwa nakupitia kituon sehem flan tuje wote ofisin. Ataanza kuomba baadhi ya seminars mwende wote, mtaanza mawasiliano unakuta unachat na mmama mzma ujinga hadi sa7 usiku daah wtf?? Anaanza jitongozesha aisee hii hali inatishaa. Nashukuru mungu haya majarib huwa nayakimbiaa japo ni ngumu sana.

Hio ndo hali halis kwa sasa kama hamfaham walioko maofisn wanajua. kama bado bhs ajiriwa ndo utajionea laivu. Kuna uchafu mwingi unafanyika nyingine siri za ofice. USIKU MWEMA WAKUU
Wewe komaa na hivyo vizee tu, maana sisi waume zao tunakomaa na wasichana under 30 yrs old!! Gari bovu huvutwa na gari jipya wayego!!!
 
Back
Top Bottom