Recent content by Informer

  1. Informer

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka afunguliwa mashtaka matano ya dharau kwa mahakama (Contempt of Court)

    DAR ES SALAAM: Jamhuri imemfungulia mashtaka matano ya dharau kwa mahakama (Contempt of Court) Wakili Peter Michael Madeleka (46) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mashtaka hayo yanahusiana na kauli na machapisho anayodaiwa kuyatoa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya...
  2. Informer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

    Maigizo yanayoratibiwa na Mchange, sijui kwanini wanamwacha aendelee kufanya vitu kama hivi.
  3. Informer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference - TEC), Ikulu ya Chamwino, mkoani...
  4. Informer

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia deni la gari au makosa ya barabarani (TMS Check) - 2026 version

    Kuangalia madeni yako ya makosa ya barabarani (Traffic Fines) kwa urahisi na haraka, unaweza kutumia njia zifuatazo: 1. Kupitia Tovuti (Online) Hatua ya 1: Fungua kivinjari (browser) kwenye simu yako na tembelea tovuti rasmi ya RTOC au TMS Check. Hatua ya 2: Chagua aina ya taarifa unayotaka...
  5. Informer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waleteni Wakosoaji tufanye nao kazi

    Kapambana sana; labda ataonekana soon 😀
  6. Informer

    JamiiForums Tanzania Anthropic wazindua "Fable 5" na "Mythos 5" - AI yenye nguvu kuliko zote, lakini yenye kizuizi cha usalama. Tujadili madhara na fursa zake kwa Afrika

    Mkuu, AI aina ya Claude sio ya kuongea nayo kwa lugha hii. Hizi ni lugha za AI kama ChatGPT au DeepSeek. Prompt yako ili iwe na matokeo bora, ungeiweka hivi: ==== As someone who enjoys making thoughtful daily decisions, I'm standing in my driveway looking at my slightly dusty car. The...
  7. Informer

    JamiiForums Tanzania Anthropic wazindua "Fable 5" na "Mythos 5" - AI yenye nguvu kuliko zote, lakini yenye kizuizi cha usalama. Tujadili madhara na fursa zake kwa Afrika

    Habari wakuu, Leo Juni 9, 2026, kampuni ya Anthropic (watengenezaji wa Claude) wamezindua mifano miwili mipya ya akili unde - Claude Fable 5 na Claude Mythos 5. Hii ni habari kubwa kwenye dunia ya teknolojia, na ina mambo ya kujadili hasa kwetu sisi tunaofuatilia masuala ya haki za kidijitali...
  8. Informer

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Gendered Marital Citizenship Provisions: A Legal and Historical Analysis

    Tanzanian law does not automatically confer citizenship on a foreign wife. Rather, it grants her a privileged, near-guaranteed pathway unavailable to a foreign husband. Section 11 of the Tanzania Citizenship Act provides that a foreign woman married to a Tanzanian citizen may, at any time...
  9. Informer

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    Ilikuwa upside-down tayari. Unataka sema ilikuwa sawa kutoboa tu?
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Ugonjwa wa Ebola Walipuka DRC na Uganda, WHO Yatangaza Hali ya Hatari (PHEIC)

    Leo tarehe 17 Mei 2026, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tamko zito ambalo linatugusa sisi Watanzania moja kwa moja. WHO imetangaza rasmi kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea katika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Uganda sasa ni Hali ya Hatari ya Afya ya...
  11. Informer

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yadaiwa kuwazuia Wabunge wa Ulaya (EU) Kufanya Ziara Nchini

    Wakuu, Kuna taarifa nzito sana imetolewa na Bunge la Ulaya (European Parliament) kuhusu mahusiano yetu ya kidiplomasia na hali ya haki za binadamu hapa nchini. Kwa mujibu wa chapisho rasmi kutoka kwenye tovuti ya bunge hilo, Serikali ya Tanzania imeikatalia kamati ya Wabunge wa Ulaya kufanya...
  12. Informer

    JamiiForums Tanzania Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

    Marekani ni tofauti sana na kwetu. Hebu otea ingekuwa Malawi, jamaa angekuwa hali gani?
  13. Informer

    JamiiForums Tanzania Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

    Kuna tukio la kushtua ambalo limetokea usiku wa leo (mida ya Tanzania) nchini Marekani. Rais Donald Trump, Mkewe Melania Trump, Makamu wa Rais J.D. Vance na viongozi wengine waandamizi wamelazimika kuokolewa kwa dharura na kikosi maalum cha ulinzi (Secret Service) baada ya milio ya risasi...
  14. Informer

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Leo tarehe 23 Aprili 2026, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa "Taarifa kwa Umma" kikieleza msimamo wake wa kuipinga na kuikataa rasmi ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo imewasilishwa leo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kupitia...
Back
Top Bottom