Recent content by Infantrysoldier

  1. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Benfica washenzi sana hao wametufanya tulale na viatu washenzi hao dah[emoji24]
  2. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

    Braza upande wa Meridian sina shaka nao hata kidgo nina mwaka wa kumi sasa nawatumia hawajawahi kuniletea ubabaifu hata siku moja na huwa deposit mpka 100K bila waswas wala longolongo
  3. Infantrysoldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na Mwanamke wa JF!

    Kutojitambua na kujielewa, huwezi fanya hivyo kama una utimamu wa akili huende bolti ya moja ya kichwa imecheza kidgo
  4. Infantrysoldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na Mwanamke wa JF!

    Fact bro [emoji110] inabidi turudi enzi zile aisee, yote haya yasingetokea hata kidgo kizazi ovyo sana hichi
  5. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa JKT waanza mafunzo JWTZ, wengine watoroka

    821 KJ bulombora hiyo kigoma sio makutupora
  6. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

    Raisi ndie Amiri jeshi mkuu hivyo hayo mamlaka anayo tena kwa asilimia zote pasipo kipingamizi chochote kile
  7. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Video: Vijana wa JKT waanza mafunzo JWTZ, wengine watoroka

    Uko sahihi kabisa kama una roho ngumu unaweza kukimbia kabisa mic, nakumbuka tulishawahi kuambiwa lazima wafe watu hapa dah sasa hapo unawza ni mimi au nani, sio powa yani kwa haraka lazima upige hesabu za kutoroka hiyo ilikuwa 821Kj
  8. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania JKT ulipiga kambi gani? Karibu tukumbushane

    821 KJ bulombora, Op mererani 2018,CO Luteni kanali Rashidi Kanole Kombani A coy, platoon no 1 , section no 1 Sir major wa kombania Nzagara
  9. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania CAF huenda wakaikataa Jezi Majengo, Vifusi, Minara na Machinjio ya Vingunguti ya Klabu Moja Tanzania

    Bro unawazaga sana nje ya Box dah [emoji23][emoji23] watani safari hii jezi ya nyumbani mmepigwa
  10. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Sasa Rasmi: Yanga mabalozi wenza wa Sensa na Anwani za Makazi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
  11. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Mugalu, Kagere na Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha Zoran

    Sahih kabisa wala hujakosea, kumbukumbu ziko vzuri kiukweli tubadilike ikiwa tunataka soka letu lisonge mbele
  12. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Tr 3/8....
  13. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania Luteni Jenerali Tumainiel Kiwelu hakika ameacha alama zisizofutika

    Mkuu nimeipenda hii, shukrani kwa kuiweka vzuri
  14. Infantrysoldier

    JamiiForums Tanzania JWTZ wakanusha taarifa ya Mabeyo kuingilia suala la Spika

    Mwache analeta mapuuza huyo[emoji23]
Back
Top Bottom