Recent content by infantry

  1. infantry

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025

    Nanukuu "Jibu langu kwake ni Kwamba Someni sheria mtajua hoja hiyo imetokea wapi? Usiposoma sheria utajuaje mamlaka hewa ya mahakama ya kisutu.?"
  2. infantry

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu zina mashiko sana, hofu yangu ni Mahakama Kuu kumuachia halafu wakamkamata tena

    Kwa mwenendo huo wa mawakili wa serikali,Watu wengi sana wamefungwa bila hatia..Haki huinua Taifa
  3. infantry

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

    Mkuu kama unavyowapatia vipo ndani ya uwezo wako na havitakuathiri wapatie tu bila kinyongo wala manung'uniko..kama haviko nje ya uwezo wako waambie huna. Mungu ana makusudi yale kukuweka hapo pamoja nao
  4. infantry

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

    Akaulilia akisema..
  5. infantry

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyothibitisha Uchawi, hutoamini nakwambia!

    Uchawi upo.. Ila kuamini mpaka yakutokee kama wanavyohadithia wakuu hapo juu.Ila kama hayajakukuta hiwezi amini.
  6. infantry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Daah! huo ni ukweli unaoumiza..
  7. infantry

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Mvuti

    Miguu sio kipimo sahihi. Pima kwa mita upana na urefu.
  8. infantry

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna nyimbo za Upendo Kilahilo Kwa utukufu wako na Hakuna usiloweza. Naomba mwenye nazo aziweke hapa. NB:Haku NBA usioweza kuna sehemu kunw an hauna sauti Youtube. Natangukiza shukrani
  9. infantry

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya Makazi kwa bei nafuu

    Ni vema vipimo vya hivyo wiwanja uweke kwa mita.
  10. infantry

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harria lexus for sale

    Kwani ikiwa ya Mzungu ndio haiendi body
  11. infantry

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kisemvule

    Weka kwa mita mkuu,naona unaweka kwa futi ili kionekane kikubwa
  12. infantry

    JamiiForums Tanzania Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

    Sadaka na zaka ni siri kati yako wewe na Mungu wako.Lakii makanisa ya sasa mnatoa kwenye kadi ambayo in jina lako baadae wahudumu wanajaza kwenye kadi hiyo kiasi ulichotoa.Maana ya sadaka ni siri haipo tena kwa baadhi ya makanisa
  13. infantry

    JamiiForums Tanzania Desk top computer for sale

    Ipo 300K mkuu
  14. infantry

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop aina ya dell

    130K mara ya kwanza ya pili na ya tatu top! Toa namba ya simu tumalize kabisa kaka
  15. infantry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

    Kaa nae chini umkumbushe wajibu wake kama mke, mwambie kwa uwazi na upole yote anayotakiwa kufanya.Natumai atabadilika
Back
Top Bottom