Recent content by Incredible men

  1. Incredible men

    Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

    Mwanamke mvaa shanga ngono ndiyo kipaumbele chake... sema nn wajinga ndiyo waliwao
  2. Incredible men

    Maneno wanayodanganywa wanaume

    Wanawake wanavyo soma coment za huu uzi[emoji855]
  3. Incredible men

    Rafiki yangu kabaka! Anataka nimwepushe na miaka 30

    Maana sahihi ya urafiki wetu wanaume ndiyo hi[emoji123]
  4. Incredible men

    Upo mpasuko kwenye dini, kamati za Amani ni mtego wa Ibilisi

    Dini zinawapumbaza sana waafrika
  5. Incredible men

    Mrejesho: Wa uzi wangu wa mke wangu ni tatizo

    24 umeoa 160k inakutoa roho mpaka unakosa amani? Tafuta pesa kijana acha mambo ya wanaume wakati ww ni mvulana
  6. Incredible men

    GE2020 Mzee wetu wa Monduli (Edward Lowassa) akabidhiwa kofia rasmi na Dkt. Magufuli

    Mshana Jr mkuu naomba elim yako juu ya hizo kofia kama nahisi kuna kitu kipo nyuma ya pazia kwanini wote walio pewa ni watu ambao walisha wahi kuwa na ushawishi mkubwa kwenye jamii au bado wana ushawishi mkubwa kwenye jamii
  7. Incredible men

    Wasanii wa Nigeria Wana akili sana kuliko hawa wala ubwabwa wa kampeni huku kwetu

    Mwanaume mzima unataka Zuchu na Nandy wakupiganie maisha yako[emoji41]
  8. Incredible men

    GE2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

    Uoga ndiyo adui mkubwa wa taifa hili
  9. Incredible men

    GE2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

    Wanacho fanya ni kwa maslai mapana ya mataifa yao na wale wachumia tumbo wa taifa letu?
  10. Incredible men

    GE2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

    Chini na USA wanazinguana kisa Tz huu upendo umeanza lini
Back
Top Bottom