Recent content by Inamonga

  1. Inamonga

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Misugusugu

    Unafika waamuzi secondary?
  2. Inamonga

    JamiiForums Tanzania Nyloni za kuhifadhia maji

    Habari ndugu. Naulizia zile nyloni ambazo hutumika kwenye mabwawa ya samaki. Zinapatikana wapi na bei yake ikoje? Mimi niko Dar
  3. Inamonga

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Mbegu za kisasa kilo moja bei gani na zinapatikana wapi?
  4. Inamonga

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Hahahaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Inamonga

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Hili zoezi linatakiwa lifanyike ndani ya miaka 3. Mm siwezi kupoteza siku nzima niko kwenye foleni ya nida bila mafanikio yeyote. Wacha wazime, potelea pwetee... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Inamonga

    JamiiForums Tanzania KUKU WAKUBWA

    Bei ni tsh. 10,000/= kwa kila mmoja.
  7. Inamonga

    JamiiForums Tanzania KUKU WAKUBWA

    Nauza kuku wakubwa aina ya Kroila wapo 20(jogoo tupu)., Wana Miezi 4. Kienyeji pure, (jogoo tupu) wapo 10, Miezi 6.5 Nauza wote kwa jumla. Niko bunju B, Dsm Cm: 0757891894. Nb. Kuku ni wakubwa kuliko wanavyo onekana kwenye picha.
  8. Inamonga

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta soko la kuku aina ya Kuroiler

    Uzito unao takiwa sikoni ni up? Bei yako? Una uwezo wa kuchukua KUKU wangapi kwa siku?
  9. Inamonga

    JamiiForums Tanzania This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Unauzaje na uko wapi?
  10. Inamonga

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    Wakuu maeneo ya pwani kama Mkuranga naweza kulima ndizi mshale zikakubali vzr..? Naona huku wengi wanalima ndizi sukari tu, sijajua tatizo ni nn?
  11. Inamonga

    JamiiForums Tanzania TALA Tanzania ndio walioiponza Vodacom Tanzania

    Sasa kama hawakopeshi tena, kuna haja ya kulipa deni?
  12. Inamonga

    JamiiForums Tanzania TALA Tanzania ndio walioiponza Vodacom Tanzania

    Hahahahaaaa
  13. Inamonga

    JamiiForums Tanzania TALA Tanzania ndio walioiponza Vodacom Tanzania

    Duh.. Jamaa wanavitisho balaa.. HV hakuna hata mmoja aliye kamatwa kwa kushundwa kulipa deni atupe uzoefu inakuwaje?
  14. Inamonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mwanaume kumuachia mkewe ATM card yake ya bank amtunzie?

    Kama yy hukupa yake na ww mpe
  15. Inamonga

    JamiiForums Tanzania TALA wala rungu la TRA

    Mimi nimechelewesha Mkopo wao, wameniongezea deni kwa tsh. 33,000/= na kunipa wk moja niwe nimesha lipa.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom