Recent content by Imussa174

  1. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Ommy dimpoz na mkewe TAZARA

    Wewe vp.. umeshaijaribu.
  2. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya watu wanaoshi Dar hawapendi maendeleo ya wenzao?

    hakika nawe ni mmoja kati ya vijana ambao ni hasara kwa taifa hili ..bora ubebeshwe sembe ukafie jela.
  3. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya watu wanaoshi Dar hawapendi maendeleo ya wenzao?

    Mkuu sio dar pekee..ila ni asilimia kubwa sana yetu watanzania tuna roho za kimaskini..tunampenda asiyekuwa nacho akipata tunaanza majungu, fitina mda mwingine uchawi...kutafuta hatutafuti tunabaki kuilaumu serikali na kuombea machafuko na kukaa vijiweni kudanganyana na kuomba omba na kufuatilia...
  4. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Hili la kuporwa watu waliotoka kwenye Fiesta limekaaje?

    Kawaulize watoto wenzio.
  5. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

    Ndg mtabiri.. nyota yao ni ipi?
  6. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Kajifunze kwanza kuandika..
  7. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Niite jina lolote ila ndivyo nilivyo

    Duuh! kweli umeichoka gvt.
  8. Imussa174

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serengeti fiesta 2014 special thread

    Je wewe ndiye mgawa ridhiki?
  9. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Mti ulioanguka zamani wasimama ghafla

    Mtu akiwa mgonjwa akiugusa maradhi yote yanatoka.... na inaongeza nguvu za kiume.
  10. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Polisi walinzi wa Bank Shinyanga, ni kero kwa wateja

    Ati nini!
  11. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Kifungu cha sheria tafadhali..au ndio u bush lawyer.
  12. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Mke wako ukiwa naye ukiteleza pembeni washenzi wanashika kiuno ...
  13. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Toyota Chaser Inauzwa

    Ipo wapi blaza.
  14. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

    Mkuu anapotabasamu huwa anakenua?
  15. Imussa174

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

    Ukistaajabu ya migomo utaona ya ulimboka.
Back
Top Bottom