Recent content by Imu mussa

  1. Imu mussa

    Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    kila aliopo ccm ni mchafu lakini akihamia chadema msafi ni shida.
  2. Imu mussa

    Huyu ndiyo Mzee Kikwete (kuhusu baadhi tusiyoyajua)

    si zani kama chadomo watachangia hii.
  3. Imu mussa

    Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

    wauza madawa ya kulevya wote na mafisadi watamchukia makonda. swahili lina kuja na wewe pia ?
  4. Imu mussa

    Madhara makubwa watakayopata Chama Tawala baada ya msanii Wema kuhamia CHADEMA

    Duh alikuwa miss alivuma kidogo, kanumba akamshawishi kwenye maigizo akawa msanii hakuvuma kabisa akapatwa na msanii maarufu hapo akaanza kuvuma kupitia mondi na zile skendo za umalaya zikimsaidia ikapita akasteak kuwa msanii kupitia msaada wa kanumba mara kaingia kwenye siasa na sasa anavuma...
  5. Imu mussa

    Vita ya Dawa za Kulevya: Steve Nyerere alivyopiga kambi Bungeni Kumuokoa Wema Sepetu

    Amini tunaolumbana humu ni sisi wananchi ushawahi kuona post ya mbunge wako humu au ya waziri au ya raisi au ya polisi amini wanatekeleza majukumu kaka.
  6. Imu mussa

    Pale suala nyeti na mustakabali wa taifa linapogeuzwa kuwa siasa!!

    Atimaye na lowassa wanae wao na walikuwa wakiiponda ccm kupitia lowassa na kumwita fisadi kama ccm chama cha mafisadi kinawataja sasa cha kushangaza chadema ndo kimbilio lao wale wote wenyemaovu na chadema kimekuwa mtetezi wa watu hao sasa nauliza kipi chama fisadi na kinachowakumbatia na...
  7. Imu mussa

    RPC wa Mwanza anafaa kuigwa na polisi wengine

    Haya jamani wabunge zamuyenu kusema na hao wametajwa majina azarani na kwenye vyombo vya habari.
  8. Imu mussa

    Tunaomuunga Mkono Magufuli Hatufurahishwi na hizi "Distractions"

    Hata ukicheza ngoma kwenye maji bado watasema unawatimulia vumbi, ila naamini inchi yetu itatukia na maisha yatakuwa very cheap kisha watafumba midomo yao na kutafuta mengine ili kutia kasolo tu. Mungu watokomeze maadui wa nchi hii na uwaongoze vema viongozi bora pamoja na mkuu JPM.
  9. Imu mussa

    Nimesikitishwa na aina hii ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe

    Thamani ya chadema haipo tena maana chadema imekua ikiwatetea waalifu ambao ccm wanawafukuza wakati lowassa alipokuwa ccm chadema ilimsema vibaya sana, leo hii yupo chadema tena ngazi za juu. Sielewi imekuaje! Leo hii watu wa madawa ya kulevya wanatajwa na kuwekwa ndani chadema hiyo hiyo...
  10. Imu mussa

    Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Hata angekamatwa yoyote katika kundi la watu kama hao bado angetokea mtu kama wewe angesema kaonewa kila mtu atashughulikiwa kwa wakati wake at least sasaivi wanakamatwa na tunawasikia wanapata ukumu kulingana na makosa yao. Vipi miaka ya nyuma ? Hili si jambo la mtu mmoja hakuna tena kuwafumbia...
  11. Imu mussa

    Rais Magufuli azidiwa umaarufu na Mh.Tundu Lissu

    Hana jipya ivi aoni kama anachechea mvurugiko wa amani kwa kujiona yeye anaakili sana inamaana yeye ndo mwanasheria peke yake anayeijua sheria tanzania kuna siku hato pata wa kumsaidia shauli yake.
  12. Imu mussa

    Mkuki kwa Nguruwe, Kwa Binadamu Mchungu

    Report kama hii ilitakiwa itolewe pale pale bungeni na muheshimiwa mmoja wapo au speaker wa bunge nazani wabunge wote wangepiga meza zao kwa aibu kubwa kuunga mkono hii report kwa aibu maana ndo kilichowapeleka bungeni kugonga gonga meza tu na uchu wa pesa na kukumbatia maovu.
  13. Imu mussa

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Shetani anakutumia nakushauri umlani kisha uslim alafu acha bangi.
  14. Imu mussa

    DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    Naona mambo magumu sasa maji ya shingo wanataka makonda aondolewe ili biashara ya madawa iendelee hawaoni hata aibu wamepata pa kujifichia kunusuru biashara yao ya madawa ni aibu sana.
Back
Top Bottom