Tunaomuunga Mkono Magufuli Hatufurahishwi na hizi "Distractions"

Kabisa Mkuu huwezi kuwa na dikteta uchwara madarakani anayejigamba "anainyoosha nchi" huku akiwa hataki ushauri wa yeyote yule kwa kuwa hataki "wamcheleweshe" one man show government halafu utegemee uchumi utakuwa bora, ni lazima uchumi wa nchi uyumbe. Huu ndiyo mwaka hali mbaya kiasi hiki, sasa tusubiri miaka mitano labda akubali kubadilika vinginevyo itakuwa ni balaa kubwa.

Utawala bora kwanza ndo tufuate uchumi. Huwezi kuzungumzia uchumi imara huku rais anaua sekta binafsi hiyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
Ukitaka kumuunga mkono Magufuli wewe muunge kwa hali yeyote ila kama unaona ni ngumu binafsi naona ni bora ukaachana naye kabisa ILI UWE NA AMANI.

- Tatizo kubwa la binadamu ni moja; WAMESHAKUKABIDHI USUKANI UENDESHE GARI, LAKINI HAWAISHI KUKUELEKEZA KILA WAKATI NAMNA YA KULIENDESHA GARI LENYEWE - NA KIBAYA ZAIDI Ukiwasikiliza na mkakwama LAWAMA ZOTE UTAPEWA WEWE.

- Ukishamkabidhi USUKANI Mwacheni aendeshe anavyojua ili hata AKIKWAMA Unazo HAKI ZOTE ZA KUMLAUMU MPAKA KIAMA
Acha ubwege wewe kwa hiyo dereva hata akipiga makumbalala abiria mumchekee tu
 
Raisi Magufuli siyo Superhuman ni Binadamu kama Binadamu wengine hivyo hawezi kuwepo kila mahali na kutimiza kila hitaji la kila Binadamu, kama hamumkubali kuna njia ya kufanya hivyo nayo ni 2020 msimrudishe Ikulu, vinginevyo kaeni pembeni na mwachieni Uwanja na Timu yake wafanye yale wanayaoona yanafaa na kama mnaona ni Udikteta au huo mnaouita Utawala ya Sheria haufatwi basi Watanzania tutaamua 2020, lkn binafsi namuunga mkono Raisi Magufuli na kwanza ukiniuliza mimi hawa wanaojiita Upinzani siyo watu wa kuwachekea kabisa, ni watu wabaya, kama nikikuuliza
Ben Saanane yuko wapi? Na kwa nini hamumuongelei tena? Kwa nini mlisema Serikali yetu imemuua na kufukia maiti yake Mto Ruvu halafu leo muko kimya? Hizo shutuma zilikuwa na lengo gani? Mlitembea kwa Wazungu Ulaya kuwaambia kwamba Serikali yetu imemuua Ben Saanane, Je ninyi ni watu wazuri wa kuchekewa chekewa? Raisi Magufuli bana hapo hapo usirudi hata milimeta 1 nyuma, nchi haijengwi kwa ulele mama, Historia itakuwa hakimu!
Sawa chief tuweke pembeni mengine yoote uliyoongea...

naomba mimi na wewe tuongelee utawala wa sheria na kutimiza wajibu kwa kila mmoja wetu achilia mbali viongozi..

Mfano mimi mtaani kwangu natumia mabavu kuishi sifuati sheria za nchi...

Kuna watu wameanza kuwa na mimi na wameanza kuniamini hivyo wananisikiliza na wakipata shida wanahitaji faraja zangu.... kwakuwa mimi ni bingwa mtaani kwangu naenda badala ya kuwafariji nawakejeli...

Wapo ambao labda hapa mtaani kwangu wameona nafaa kuwa kiongozi wa ulinzi shilikishi....
wakanikabidhi majukumu...
Nimeamua kutokuwapa maslahi yao kwa muda wamevumilia sasa wameona wanahitaji kufanya shinikizo...

Wapo ambao waliona kutokana na kasma yangu naeza kuwasaidia wapate elimu nikaunda taasisi ziwasaidie wafikie malengo yao..

Kisha baadaye na badili mawazo kwamba hawafai hawana vigezo hivyo watoke... kumbuka nina taasisi ziliwapitisha...

Hapo mtaani kwangu mimi ndiyo mimi....

Wala sijali nawatumia tu watu wafunje utaratibu wa ki ustaarabu wafanye nipendavyo na namna hizoo...

Lakini kwakuwa walio karibu yangu na mimi wana njaa hata kama nakosea watatafuta hoja ili waseme alafu iwe hivyo...

Mwisho wake ni kwamba nakubaliana na wewe historia itahukumu na Mungu ndiye muweza wa yoote mimi na wewe na yule wote tu mavumbi na mavumbini tutarudi...

Wahenga walisema shibe mwana malevyaaa....

I'm tapping out!

Cheers!
 
Mbona uchumi watu hamuuzungumzii? serikali inabana private secta kama vile kuna cold war..private sector ndio zinazooajiri na kulipa kodi, private sector ni kama inauawa na awamu hii ya tano hadi watu wanatamani heri ufisadi urudi
makusanyo makubwa ya TRA wameona sio sustainable kwa hii staili, ndio maana wamepunguza mbwembwe za kutangaza. . ila hili halipewi mjadala kama hayo mengine?

Tough times ahead as govt unveils more spending cuts
Wapo wafanyakazi wa serikali katika proffessional levels wanataka kuacha kazi serikalini...

Naongelea engineers, advocates, specialists waende abroad ama waende private sectors....
 
Mzee Mwanakijiji

Hoja uliyoweka ni muhimu sana kuijadili, lakini kama unavyofahamu hoja kama hizi hakuna anayetaka kuzijadili. Kama unavyofahamu mimi sina chama lakini napenda kuona Tanzania yenye maendeleo chanya ya kutufikisha kwenye neema. Kasi anayokwenda nayo JPM nimeipenda sana, lakini hawa wapinzani uchwara wanataka kumchelewesha na yeye anayo meno makali ya kuwang'ata na watanyooka tu.

JPM ameandaa progamme yake kwa miaka kumi inayokuja, panapo majaliwa hawa wote pimbi wanaopiga kelele watakuwa wanalialia kutaka aongeze muda.
Believe me hatua ambayo atakuwa amepiga itakuwa ni aibu kubwa sana kwa marais watatu waliomtangulia na hawa ni kikwazo kikubwa sana hivi sasa. Kama wakileta fyoko asiwape marupurupu yao ambayo yanawafanya wawe na kiburi.

Hatuwezi kuwapa nchi hawa wapinzani uchwara wanaoongozwa na cartel ya wezi wa kimataifa.
Duh sasa na yeye tumuamini vipi kama waliomtangulia ni kikwazo kwake??

Mie napenda saana kusoma vitabu lakini sipendagi kusoma kitabu kimoja tuuuuuu juu ya jambo moja ama topic moja mie napenda kuchanganga kuona views za wandishi na wanajribu kunielekeza nini....

Do not burn bridges chief Mungu ametuumba tupendane....
Period.

Njaa isiondowe akili
 
Ukitaka kumuunga mkono Magufuli wewe muunge kwa hali yeyote ila kama unaona ni ngumu binafsi naona ni bora ukaachana naye kabisa ILI UWE NA AMANI.

- Tatizo kubwa la binadamu ni moja; WAMESHAKUKABIDHI USUKANI UENDESHE GARI, LAKINI HAWAISHI KUKUELEKEZA KILA WAKATI NAMNA YA KULIENDESHA GARI LENYEWE - NA KIBAYA ZAIDI Ukiwasikiliza na mkakwama LAWAMA ZOTE UTAPEWA WEWE.

- Ukishamkabidhi USUKANI Mwacheni aendeshe anavyojua ili hata AKIKWAMA Unazo HAKI ZOTE ZA KUMLAUMU MPAKA KIAMA
Brother maisha ni elimu na ndiyo maana vitabu vya dini vinasema tafuteni elimu....

Elimu yaeza kuwa formal ama informal.....

iwe formal ama informal...

Kuishi na watu ni busara....
Kuwa kiongozi ni busara chief...si kila mtu lazima umuoneshe uwezo wako kwamba wewe ni kiongozi..na ndiyo maaana ikazaliwa diplomasia... hapo jiulize kwanini diplomasia???

Hivyo ukielewa kwanini diplomasia basi tutaacha kuoneshana ubabe sababu the world is cool & blind n we both gonna die comrade...

utamu wa asali lakini incha ya kisu si njia sahihi ya kulamba hiyo asali...

Sincerely
 
Mzee Mwanakijiji

Hoja uliyoweka ni muhimu sana kuijadili, lakini kama unavyofahamu hoja kama hizi hakuna anayetaka kuzijadili. Kama unavyofahamu mimi sina chama lakini napenda kuona Tanzania yenye maendeleo chanya ya kutufikisha kwenye neema. Kasi anayokwenda nayo JPM nimeipenda sana, lakini hawa wapinzani uchwara wanataka kumchelewesha na yeye anayo meno makali ya kuwang'ata na watanyooka tu.

JPM ameandaa progamme yake kwa miaka kumi inayokuja, panapo majaliwa hawa wote pimbi wanaopiga kelele watakuwa wanalialia kutaka aongeze muda.
Believe me hatua ambayo atakuwa amepiga itakuwa ni aibu kubwa sana kwa marais watatu waliomtangulia na hawa ni kikwazo kikubwa sana hivi sasa. Kama wakileta fyoko asiwape marupurupu yao ambayo yanawafanya wawe na kiburi.

Hatuwezi kuwapa nchi hawa wapinzani uchwara wanaoongozwa na cartel ya wezi wa kimataifa.
Kwa hazina kukosa fedha za miradi ya maendeleo.Kumtegemea huyu jamaa akuvushe ni hadithi za kufikirika!
 
Njaa inakusumbua sio bure. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mtanyooka tu miaka hii hamchomoki mlizoea vya kunyonga.
Sijui kwanini wapuuzi na wapumbavu kama nyie bado mpo katika zama hizi. Watu wanajadili vitu substantial wewe unaleta mipasho? Poor you
 
Mzee Mwanakijiji

Hoja uliyoweka ni muhimu sana kuijadili, lakini kama unavyofahamu hoja kama hizi hakuna anayetaka kuzijadili. Kama unavyofahamu mimi sina chama lakini napenda kuona Tanzania yenye maendeleo chanya ya kutufikisha kwenye neema. Kasi anayokwenda nayo JPM nimeipenda sana, lakini hawa wapinzani uchwara wanataka kumchelewesha na yeye anayo meno makali ya kuwang'ata na watanyooka tu.

JPM ameandaa progamme yake kwa miaka kumi inayokuja, panapo majaliwa hawa wote pimbi wanaopiga kelele watakuwa wanalialia kutaka aongeze muda.
Believe me hatua ambayo atakuwa amepiga itakuwa ni aibu kubwa sana kwa marais watatu waliomtangulia na hawa ni kikwazo kikubwa sana hivi sasa. Kama wakileta fyoko asiwape marupurupu yao ambayo yanawafanya wawe na kiburi.

Hatuwezi kuwapa nchi hawa wapinzani uchwara wanaoongozwa na cartel ya wezi wa kimataifa.
Ndoto hizo
 
Uchumi imara hujengwa na Utawala bora. Turekebishe kwanza utawala then uchumi utajiset wenyewe.

Until then tufe na njaa? Uzalishaji na usambazaji uko mikononi mwa sekta binafsi ambayo kwa sasa imekuwa kama imepigwa ganzi. Tusubiri basi bei ya chakula iwe maradufu ya sasa!
 
Ukitaka kumuunga mkono Magufuli wewe muunge kwa hali yeyote ila kama unaona ni ngumu binafsi naona ni bora ukaachana naye kabisa ILI UWE NA AMANI.

- Tatizo kubwa la binadamu ni moja; WAMESHAKUKABIDHI USUKANI UENDESHE GARI, LAKINI HAWAISHI KUKUELEKEZA KILA WAKATI NAMNA YA KULIENDESHA GARI LENYEWE - NA KIBAYA ZAIDI Ukiwasikiliza na mkakwama LAWAMA ZOTE UTAPEWA WEWE.

- Ukishamkabidhi USUKANI Mwacheni aendeshe anavyojua ili hata AKIKWAMA Unazo HAKI ZOTE ZA KUMLAUMU MPAKA KIAMA
Hata ukicheza ngoma kwenye maji bado watasema unawatimulia vumbi, ila naamini inchi yetu itatukia na maisha yatakuwa very cheap kisha watafumba midomo yao na kutafuta mengine ili kutia kasolo tu.

Mungu watokomeze maadui wa nchi hii na uwaongoze vema viongozi bora pamoja na mkuu JPM.
 
Njaa inakusumbua sio bure. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mtanyooka tu miaka hii hamchomoki mlizoea vya kunyonga.
Mnaonyooka ni nyie mliozoea kuishi kwa ass kissing kwa watawala.. Wengine tunajitambua hatulelewi kwa buku saba na vyeo vya kifala.. Endeleeni kukiss ass tu!
 
Hicho unachotaka ndicho Raisi Magufuli anafanya kila siku, sijui uko Tanzania ipi?
Raisi anatutaka wananchi tufanye kazi kwa bidii na tulipe kodi
Raisi anachukia Ufisadi, Rushwa, Wizi, Matumizi mabaya ya fedha za umma,
Uzembe, Upotoshaji, Uchochezi na nk.
Anachukia baadhi ya rushwa na baadhi ya ufisadi. Chama chake kiligawa rushwa ya Mil 10 kwa Wabunge wake na yeye anajua hilo
Mteule wake kipenzi RC wa Dsm anatuhumiwa kua na Utajiri wa kupindukia ndani mwaka mmoja tu.
Kuhusu ufisadi wa IPTL, EPA,Kiwila amesema hafukui makaburi.
Tuache unafiki kwenye vita ya Rushwa na Ufisadi.
 
Back
Top Bottom