Madhara makubwa watakayopata Chama Tawala baada ya msanii Wema kuhamia CHADEMA

Ukisikia mtu anafikiri kwa unyayo ndio wewe,hivi unadhani CCM inamtegemea mtu mmoja na mtu mwenyewe kama huyo role model wako,hakika nadhani umepofushwa na magazeti ya udaku,FB ,Insta.Pole Chadema ni kama imekwisha sasa imebaki Chadema ya matokeo.Wema nani anamjua kama si hao wanaoshindwa kutwa kwenye udaku,hao wote uliowataja wapo upinzni miaka na miaka je kuna mabadiliko yoyote au ndio kusingizia tume,nakwambia penye nguvu za wananchi hakuna cha tume wala nini ,ni ushindi tu,mambo ya kusingizia tume huru ni porojo tu.
 
wema sepetu ni kasisimizi kadogo tu ndani ya chama kwanza hata nlkuaga sijui kama yupo ccm kuondoka kwake ni madhalaless....ajitafakari upya kuondoka kaondoka lowasa na watu wakatupia ushindi sembese yeye sisimizi?
 
Kila nchi kipindi cha uchaguzi wanasiasa wana walilia wasanii kwamaana wanajua madhala yao si unajua mashabiki wa wasanii wanataka kuishi kama model wao..hivyo wakisema i dont like this I like that..basi wapenzi. Woote nao wanataka kuiga
Hata Trump na Msanii Kanya West ndio mambo kama hayo
 
Utakua umekoswa unga...sio bure...akashindwa lowasa aliekua hadi na mkono usalam wa taifa..makanisani akishika waumini na wanywa viroba wote walikuwepo wakadeki hadi lami ili apite itakuaje huyu demu asiye jua hata kuongea...wema sio mwanasiasa huyo ni kama kara jeremaya...tu wapo akina roma mkatololiki bt bado hawana ushawishi kwa siasa...huyo anatafta msaada maana kaisha ona chadema siku hizi kazi yao ni mutetea waharifu...sasa kwa nin asihamie ili asaidke
Kama Sharifu Hamad alishindwa huko Zenj basi na Lowassa alishindwa.
 
kwenda zako wewe. pelekeni unga na bangi zenu chadema. ccm ni chama makini kuleta maendeleo ya wananchi sio jopo kwa ajili ya walimbwende wavuta bangi. ccm hakuna mtu mashuhuri ila chama ndio mashuhuri. watu waliofanya makosa ya kudhani ni mashuhuri kuliko ccm wapo wema angewauliza angejua yeye si chochote.
maendeleo gani mkuu zaidi ya mbwembwe? mliahidi mikopo vyuo vikuu kwa wakati je iko wapi? zaidi ya blaa blaa?
 
Kila nchi kipindi cha uchaguzi wanasiasa wana walilia wasanii kwamaana wanajua madhala yao si unajua mashabiki wa wasanii wanataka kuishi kama model wao..hivyo wakisema i dont like this I like that..basi wapenzi. Woote nao wanataka kuiga
Hata Trump na Msanii Kanya West ndio mambo kama hayo

madhala = madhara
 
Kwa weledi wangu wa siasa za Tanzania..na hali ya saisa inavyo kwenda kuna mambo kadhaa wa kadha ambayo yataleta mazara ya chama tawara ccm kwa hapo baadae..
Katika sakata lilolo bamba zaidi ya wiki mbili(na maanisha toka majibu ya form four yatoke na mkoa wa dar kuongoza kufeli) mambo ya madawa ya kulevya
Suara la msanii Wema..linaonekana ni dogo lkn lina madhara makubwa mbeleni, hasa kwa ccm kwa nini nasema hivyo..
Moja Wema ni cerebrity..anawafuasi wengi zaidi ya milion hasa vijana wakisasa kama unataka kujua angalia vijana wengi wanapenda magazeti ya upashukuna..na yeye kalibu kila siku ana pamba kwenye front page.aliwashawishi vijana wengi wawe na iman na ccm kwenye campeni za uchaguzi,.pamoja na hivyo anakipaji kikubwa saana cha kushawishi wasanii wanamjua hata Diamond kuwa superstar katoka mikononi mwa Wema before..hivyo vijana wengi wataenda Chadema wale ambao waliona chadema si chochote kwa ccm..lejea kuhama kwa Mzee Kingunge, Waziri mkuu mstaafu Sumaye, Waziri mkuu mstaafu Lowasa,waziri mstaafu Masha na wengine wengi..na maelezo yake inaonyesha ccm ni chama kisicho na democrasia ya kweli bali kinatawaliwa na ubabe,u mimi na lingine kulazimishana kwenye ma lovedov..ukikataa utakiona cha mtema kuni
Pili,Wema ni binti anaetoka mkoa wa singida ambapo ni ngome kuu ya ccm..kwenye kura kutokana na majority ni ignolancies wanaona Wema ni icon yao..sasa wakiungana na Tundu Lissu,Esta K. Kafulila, na wengine wengi..kuna hatari ya kupoteza kula nyingi endapo uchaguzi ujao utakua halali(Tume huru)
3. Uyu binti anaamini anacho kifanya kifupi ana confidence hii kutokana na malezi aliyo kulia..akikutana na mama Lowasa,Halima Mdee,E.Bulaya na wengine wengi naamini atakua anauwezo mzuri saana wakujenga hoja
4.kutokana na yeye Wema amethubutu basi kwa hali inavyo sasa utasikia wasanii wengine wengi wakakihama chama..hii kutokana na kutimiwa na kuachwa tena bila hata kulipwa hii ndio aibu saana kwa wasaanii wakitanzania..wanao ishi kwa kujaza tumbo badala ya kutetea freedom kama wasanii wa enzi zile
Namalizia kusema haki uinua Taifa..tuheshimu utu wa watu..kutengeneza heshima inachukua miaka mingi najasho kubwa lkn kupolomoa sheshima ya mtu ni mara moja na kuiludisha ni kazi ngumu..
Pinga madawa ya kulevya lkn fuata misingi ya haki za watu
RIP.Amina Chifupa
Harakati za kweli dhidi ya dawa za kulevya ni zile za marehemu A.chifupa asinge fariki nahisi tungefanikiwa.kwa mtazamo wangu vita dhidi ya dawa za kulevya isiendshwe na polisi kuwe na kitengo maalum ikiwezekana waje wageni na wabadirishwe Mara kwa Mara ili wasizoeleke kinyume cha hivi itakuwa km takukuru
 
Hii inanikumbusha enzi za Lowasa....

Sasa hivi tutasikia kila sifa njema kumhusu huyu binti.....

Tutapata kila aina ya tusi kwa kumpinga huyu binti.....lakini ukweli unabaki kuwa.....

UAMUZI HUU WA CDM SIO SAHIHI KWA KUWA HAUKUFANYWA WAKATI SAHIHI.....
 
Kwa weledi wangu wa siasa za Tanzania..na hali ya saisa inavyo kwenda kuna mambo kadhaa wa kadha ambayo yataleta mazara ya chama tawara ccm kwa hapo baadae..
Katika sakata lilolo bamba zaidi ya wiki mbili(na maanisha toka majibu ya form four yatoke na mkoa wa dar kuongoza kufeli) mambo ya madawa ya kulevya
Suara la msanii Wema..linaonekana ni dogo lkn lina madhara makubwa mbeleni, hasa kwa ccm kwa nini nasema hivyo..
Moja Wema ni cerebrity..anawafuasi wengi zaidi ya milion hasa vijana wakisasa kama unataka kujua angalia vijana wengi wanapenda magazeti ya upashukuna..na yeye kalibu kila siku ana pamba kwenye front page.aliwashawishi vijana wengi wawe na iman na ccm kwenye campeni za uchaguzi,.pamoja na hivyo anakipaji kikubwa saana cha kushawishi wasanii wanamjua hata Diamond kuwa superstar katoka mikononi mwa Wema before..hivyo vijana wengi wataenda Chadema wale ambao waliona chadema si chochote kwa ccm..lejea kuhama kwa Mzee Kingunge, Waziri mkuu mstaafu Sumaye, Waziri mkuu mstaafu Lowasa,waziri mstaafu Masha na wengine wengi..na maelezo yake inaonyesha ccm ni chama kisicho na democrasia ya kweli bali kinatawaliwa na ubabe,u mimi na lingine kulazimishana kwenye ma lovedov..ukikataa utakiona cha mtema kuni
Pili,Wema ni binti anaetoka mkoa wa singida ambapo ni ngome kuu ya ccm..kwenye kura kutokana na majority ni ignolancies wanaona Wema ni icon yao..sasa wakiungana na Tundu Lissu,Esta K. Kafulila, na wengine wengi..kuna hatari ya kupoteza kula nyingi endapo uchaguzi ujao utakua halali(Tume huru)
3. Uyu binti anaamini anacho kifanya kifupi ana confidence hii kutokana na malezi aliyo kulia..akikutana na mama Lowasa,Halima Mdee,E.Bulaya na wengine wengi naamini atakua anauwezo mzuri saana wakujenga hoja
4.kutokana na yeye Wema amethubutu basi kwa hali inavyo sasa utasikia wasanii wengine wengi wakakihama chama..hii kutokana na kutimiwa na kuachwa tena bila hata kulipwa hii ndio aibu saana kwa wasaanii wakitanzania..wanao ishi kwa kujaza tumbo badala ya kutetea freedom kama wasanii wa enzi zile
Namalizia kusema haki uinua Taifa..tuheshimu utu wa watu..kutengeneza heshima inachukua miaka mingi najasho kubwa lkn kupolomoa sheshima ya mtu ni mara moja na kuiludisha ni kazi ngumu..
Pinga madawa ya kulevya lkn fuata misingi ya haki za watu
RIP.Amina Chifupa
tawala sio tawara
SIUJI MWALIMU WAKO WA KISWAHILI DARASA LA PILI ALIKUWA HACHAPI MBOKO?????
 
Pole sana kwa ubutu
 
Binti mwenyewe kakihama chama baada ya kupewa offer ya ya kutetewa 'uwakili'. Lakini ukimwangalia usoni unmwona kabisa kuwa bado hajakihama.
 
Duh alikuwa miss alivuma kidogo, kanumba akamshawishi kwenye maigizo akawa msanii hakuvuma kabisa akapatwa na msanii maarufu hapo akaanza kuvuma kupitia mondi na zile skendo za umalaya zikimsaidia ikapita akasteak kuwa msanii kupitia msaada wa kanumba mara kaingia kwenye siasa na sasa anavuma kupitia siasa na sasa anavuma kupitia siasa hapo hapo ni mvuta bangi na pia ni mfanya biashara ya madawa ya kukevya akakitumia chama tawala kujifichia yeye na watu wake kaumbukiwa tena sio na chama na mkuu wa mkoa na polisi lakini kinaonekana chama akaamua kuhama chama maana akina msaada kwake.

Chadema kinatumia waalifu wote mafisadi wote, wauni wote, kila aina ya wanaochafua nchi hii ya tanzania ili iweze kuingia madalakani je kama ikiingia madalakani itaweza kusafisha nchi kama inavyosafisha ccm ?

Tusiwe mashabiki wa damu tuangalie nani anafaa sio kukumbatia maovu chadema sio chama ni wauni wote na hapo serious katika kuikomboa nchi wanachi acheni kukikingia kifua tunaitaji haya tunayoyasikia yatokomezwe tunaitaji tanzania safi ongera MAGUFULI NA UWONGOZI WAKO.
 
Kwa weledi wangu wa siasa za Tanzania..na hali ya saisa inavyo kwenda kuna mambo kadhaa wa kadha ambayo yataleta mazara ya chama tawara ccm kwa hapo baadae..
Katika sakata lilolo bamba zaidi ya wiki mbili(na maanisha toka majibu ya form four yatoke na mkoa wa dar kuongoza kufeli) mambo ya madawa ya kulevya
Suara la msanii Wema..linaonekana ni dogo lkn lina madhara makubwa mbeleni, hasa kwa ccm kwa nini nasema hivyo..
Moja Wema ni cerebrity..anawafuasi wengi zaidi ya milion hasa vijana wakisasa kama unataka kujua angalia vijana wengi wanapenda magazeti ya upashukuna..na yeye kalibu kila siku ana pamba kwenye front page.aliwashawishi vijana wengi wawe na iman na ccm kwenye campeni za uchaguzi,.pamoja na hivyo anakipaji kikubwa saana cha kushawishi wasanii wanamjua hata Diamond kuwa superstar katoka mikononi mwa Wema before..hivyo vijana wengi wataenda Chadema wale ambao waliona chadema si chochote kwa ccm..lejea kuhama kwa Mzee Kingunge, Waziri mkuu mstaafu Sumaye, Waziri mkuu mstaafu Lowasa,waziri mstaafu Masha na wengine wengi..na maelezo yake inaonyesha ccm ni chama kisicho na democrasia ya kweli bali kinatawaliwa na ubabe,u mimi na lingine kulazimishana kwenye ma lovedov..ukikataa utakiona cha mtema kuni
Pili,Wema ni binti anaetoka mkoa wa singida ambapo ni ngome kuu ya ccm..kwenye kura kutokana na majority ni ignolancies wanaona Wema ni icon yao..sasa wakiungana na Tundu Lissu,Esta K. Kafulila, na wengine wengi..kuna hatari ya kupoteza kula nyingi endapo uchaguzi ujao utakua halali(Tume huru)
3. Uyu binti anaamini anacho kifanya kifupi ana confidence hii kutokana na malezi aliyo kulia..akikutana na mama Lowasa,Halima Mdee,E.Bulaya na wengine wengi naamini atakua anauwezo mzuri saana wakujenga hoja
4.kutokana na yeye Wema amethubutu basi kwa hali inavyo sasa utasikia wasanii wengine wengi wakakihama chama..hii kutokana na kutimiwa na kuachwa tena bila hata kulipwa hii ndio aibu saana kwa wasaanii wakitanzania..wanao ishi kwa kujaza tumbo badala ya kutetea freedom kama wasanii wa enzi zile
Namalizia kusema haki uinua Taifa..tuheshimu utu wa watu..kutengeneza heshima inachukua miaka mingi najasho kubwa lkn kupolomoa sheshima ya mtu ni mara moja na kuiludisha ni kazi ngumu..
Pinga madawa ya kulevya lkn fuata misingi ya haki za watu
RIP.Amina Chifupa
Mi nafikiri utafiti wako n wa kijinga tu wala hauakisi ukweli wowote, huyo wema unayemsema aligombea had ubunge wa viti maalum mbona hujasema kwamba alishindwa vibaya tuu? Wa tz tatizo letu porojo nyingi kujifanya wachambuzi wa mambo... We unajua nguvu ya Manji? Think about it na utuambie ccm inataka kumfanya nini?nani tunayeweza sema ana kundi kubwa ? Acheni kuifanya ni ishu kubwa kiivo.. Kaondoka lowassa, sumaye na kina mzee kingunge wakongwe wa ccm na siasa ya Tanzania na sio kitu mpaka leo who iz wema kwenye siasa za tz?
 
Back
Top Bottom