Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

Kwa nn unalazimisha jina linalotajwa lifanane na lako?
Hakuna mahala pamesemwa nanatumia chet cha kidato cha sita ...bali wanasema ni kidato cha nne chenye division 3 (points 25)
Kwa maana hii hakuna mtu anayekuzungumzia hapa.Na wala si wewe...kunywa maji mwanangu
Anatafta kiki hyo mpuuz tu anadandia gar kwa mbele...wew dv one kat chet kinachosemwa dv three ...
 
Hii nisawa na steve nyerere kuja kusema. Maneno ya ile audio ni uongo mtupu baada ya kupatikan....sasa daudi bashite si uonyeshe tu cheti chako mambo yaishe
Aoneshe cheti kipi? Tumeambiwa kapiga division zero. Division zero so jambo la kujivunia hadharani.
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".

TATIZO LINGINE HILI, WEWE ULIPASWA KUSEMA SIO WEWE NA UISHIE HAPO, VALIDITY YA ARGUMENT HAIKUHUSU. UNAPOJIHUSISHA NA VALIDITY YA ARGUMENT UNAHARIBU, UNAKUWA KAMA UNAJITETEA. MI NISHAPATA TUHUMA NYINGINE ZA KWELI, NIKANYAMAZA TU. NA WALIOZIANSISHA WAKAJA KUOMBA SAMAHANI (INGAWA ZILUKUWA ZA KWELI), NIKAENDELEA KUUCHUBUA. SASA BADALA YA KULETA FACTS MNAMBWELA MBWELA.
 
tehe tehe tehe amefungukia wapi? wakati kapigwa kimya toka siku nyingi hadi wazazi wa madereva wanalia kwa jinsi wanavyolazimika kusema uongo

Nyie team Madereva tunaomba mkajipange upya
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
USITULETEE UHARISHO HAPA..
we ulikutana na huyu mutu wapii?? na akakuelezea haya yote.. mbona hajitokezi watu wamswalike maswali tuone kama ndio yeye poul christian..
ngoja tumwambie GWAJIMA kuwa kuna mtu kajitokeza anasema mnayosema ni uongo alafu gwajima aweke hadharani mauchafu yenu..
tena usisahau gwajima alitoa siku tatu kwa NDALICHAKE awe ameweka wazi suala hili vinginevo atalipua yeye na aliyemteua.. leo ndo imebakia siku ya mwisho NDALICHAKE awe ameweka hadharani mauchafu yote.
 
una leta story eeeeeeeh!!!!!
 
ijumaa nae wampeleke sentro lolest
 
Dah, naona hadhi ya askofu ikiporomoka kwa kasi ya ajabu
 
Nina ndugu yangu ametumia cheti cha kaka yake na amepata chuo, inawezekana kutumia cheti kimoja kwa watu wawili
 
Mbona hata mkewe anamjua kuwa ni daudi bashite?
 
Attachments

  • Screenshot (40).png
    Screenshot (40).png
    184.7 KB · Views: 21
Mlalamikaji nani? Au ni wewe shoga la kijijini?
Hahahaha hahahaha mlalamikaji wananchi wenye hasira kali...daudi bashite bora angerisiti ona short cut ilivo long cut mana itabidi aanze form one sasa hvi...
 
Kwani yule aliyekuwa WAZIRI wa"Tanzania is the union of Zimbavwe and the isles of Pemba"si aliendwlea na muhusika nae akawa anaendelea?
Pia kulikuwa na LECTURER mmoja alishakuwa na Phd lakini hapo katikati form four na six ali-cook,mbona pia alitumbuliwa na alikuwa na vyeti ambavyo pia muhusika aliendele?

Mbona yule aliyekuwa executive director wa NACTE ambaye alikuwa na PhD feki alikimbia kabla Ndalichako hajamsa! Nimekumbuka Mr Nkwera!!!!!
 
SAKATA LA VYETI.

Yule Bwana nayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda anaeleza.

“Paul Makonda nimemfahamu kupitia habari, na hata jina wanavyolitaja waliotunga taarifa ya mtandaoni wanakosea.... kwani mimi naitwa PAUL PIERRE CHRISTIAN KAGEZI, hatuna uhusiano na makonda, mimi Muhaya na yeye ni Msukuma.”

Kuna watu wanaoanisha majina pasipo kufanya utafiti wa kutosha, hawa wangeuliza kwanza kabla ya kutoa na kusambaza taarifa kwenye mitandao.

“Taarifa hizo (za kumpa cheti Makonda) si za kweli kwa sababu huwezi kutoa cheti wakati umepata daraja la kwanza kidato cha sita, utakwenda vipi chuo kikuu? Sasa niliwezaje mimi kwenda chuo kikuu halafu kwa wakati huo nimpe naye aende chuo kikuu kwa cheti hicho hicho?

katika kidato cha tano na sita nilichukua mchepuo wa sayansi masomo ya Fizikia, Kemia na Hesabu (PCM), hivyo si rahisi kutoa cheti hicho kwani ningeshindwa kumudu huko nilikokwenda.

Hivi kama Makonda hakufanya vema kidato cha nne au hakusoma kidato cha sita, akatumia cheti cha mtu mwingine, angeweza vipi kufanya vema katika mitihani yake ya chuo kikuu?

Watu wamekuwa wakipika na kuoanisha majina,....Kama wanataka kumpata huyo bwanamdogo (Makonda) kwa njia hiyo wamemkosa kwani kutumia cheti kimoja kwa vyuo viwili vya Serikali ni jambo lisilowezekana.... Makonda asingeweza kutumia cheti nilichokuwa nakitumia mimi.

“Sera ya Serikali ni kwamba unapata asilimia 100 ya mkopo, inakuwaje mtu huyo nimpe cheti changu wakati huo naye anakwenda chuo kikuu ambacho nacho ni cha Serikali?”

“Huyo bwana anajitegemea yeye kama yeye, na walichokifanya wao (waliosambaza taarifa mtandaoni) kwa makusudi yao bila shaka wana lengo lao, wao wametaka kuingiza hoja ambazo hazina mashiko.

“Cheti cha daraja la kwanza unauza kwa gharama gani? Nimesoma shule ya msingi na sekondari, (Makonda) alikuwa na fedha kiasi gani za kunipa ili nimuachie cheti? Inaweza kukuingia akilini kweli?.. hata hiyo namba ya Makonda sina".
fb_img_1488257636082-jpg.475267
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom