Recent content by Impaler

  1. Impaler

    Afunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi kutokana na makosa ya kuwalaghai wanawake na kuwaingilia kinyume na matakwa yao

    Twangeni foto ya huyu mpuuzi... Nyambafu zake, unabaka kisha unaendeleza blackmail? wa kunyongwa tu huyu nguchiro ikithibitika ana makosa!!!
  2. Impaler

    Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

    Ni kweli, ila watu kama hawa ndio wanaokaa na kupaza sauti za uongo wao huku na kule hadi wakasababisha nchi matatizo kwa upuuzi wao... Kama juzi kati alivyochemka yule mungu mtu wao mwengine kule BBC alipotaka kuongea siasa zake za takataka zilizokosa evidences!!! Zama zinabadilika.... mambo...
  3. Impaler

    Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

    Na kwa kuwa muislamu mimi kigalatia baki nacho wewe mgalatia brother. However, if the nonsense you sprouted was meant to say i do not understand nor speak English... let me assure you that i can teach you, your sisters, your mother and even your father's mistress how to speak the English...
  4. Impaler

    Fatuma Karume aanza ‘kushughulikiwa’

    Errr...because she was not invited? Kualikwa ni maamuzi ya mualikaji, kama hataki kukualika kwake ukienda mjinga. Kulia lia kwamba sijaalikwa haisaidii lolote. Huyu dada mkijitia hashuo la kumfagilia sana mwisho atakufanyeni nyote mashoga...
  5. Impaler

    Giza nene linakuja Tanzania Punde. Tujiandae...!

    Mukitaka musitengwe.kubalini ushoga... Mfumuane marindaaaaa..... mkulane wadada kwa wadada.... Hapo hawatowatenga!!! Emancipate Yourselves from Mental Slavery....
  6. Impaler

    From my files: Mbwembwe, raha na manjonjo ya kitandani

    These kind of ladies are godsend! Nasty to the core... I love em! Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  7. Impaler

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Mtazamo wako based on which data? Maana umeiandika as if ni FACT... And... ikiwa sio fact ni fabricate... So which is which comrade?
  8. Impaler

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Umeipata wapi hii story? Fabricated? Maana mara atakuja mtu atuambie Dr. Shika ni time traveller... mwengie aseme Dr. Shika kwao Asgard... Kwa mashiko yepi tukuamini? Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  9. Impaler

    Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    Muache kabisa... na adabu yake kama number leta kwangu!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Impaler

    Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Kiasi wimbi la talaka liongezeke... stahmala na subra hakuna kabisa kwenye ndoa za siku hizi! Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  11. Impaler

    Kudhibiti harufu kwenye choo cha shimo

    Bangi za KAWE hizi... si bure
  12. Impaler

    Maneno haya hayakufaa kutamkwa na Rais wa nchi, yamemshusha hadhi

    Kwa mfano Marekani right? Hebu jaribu kwenda uone shida utakayoipata... simply koz you black.. wala haijalishi umemtilia kura nani!!! Acheni kudanganya umati... kila haki inaendana na wajibu!!! Ana haki ya kujieleza tusisahau kuwa ana wajibu wa kuchunga kauli zake! Sent from my SM-G935F...
  13. Impaler

    Dar: Halima Mdee afikishwa Mahakamani Kisutu, apewa dhamana

    Domo chafu halijawahi kumuacha mtu salama!
  14. Impaler

    Maneno haya hayakufaa kutamkwa na Rais wa nchi, yamemshusha hadhi

    Na viongozi wengine watambue kwamba hawajachaguliwa wakaropokwe na kutoka povu la matusi hovyo hovyo... iwe bungeni... iwe mkutanoni hadharani. Ikiwa wanavuta bangi wazivutie kimya kimya... Ikiwa midomo yao hawaiwezi basi wanyamae tu. Ulimi huponza kichwa jamaa.... na mwisho wa siku ni...
Back
Top Bottom