TRA wapandishe kodi kwa bidhaa kma sukar saruji Michele vinywaji vinavyoagiza kutoka njee ili bidhaa za home ziwecheap zaid kulinganisha Na zanje, nawapunguze kodi kwenye kwenye bidhaa za uzalishaji mali kma tractors nk
Wazanzibar niwabaguz mno, Tanganyika hakuna ubaguz wakipuuz kias kile, ukiskia wamekupa jina la "jibara" (jitu kutoka bara) yaan hata uwenamsaada kias gan kwao lazma wakubague. Hakuna haja yakuwalazmisha kma hawatak muungano uvunjwe kila mmoja ashike 50 zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.