Njaa Dodoma: Wananchi wala wadudu aina ya Viwavi Jeshi

Njaa Dodoma: Wananchi wala wadudu aina ya Viwavi Jeshi

ujue inawezekana wanakula hawa wadudu sababu kuu wala sio njaa...sababu inawezekana huyo mdudu anawavutia sana kwa hiyo rangi, ambayo ni rangi ya chama kilichopo kwenye nyoyo za hadi vitukuu vyao
 
Mengine ni kujitakia tu .

dodoma ina hasili ya ukame, na kilimo ni cha msimu.. mvua zisiponyesha kwa wakati ndio tatizo la njaa ujitokeza.

pia ulaji wa wadudu ni desturi tu, ht wale wa kagera nao wanakula senene. ila inategemea na msimu.
 
Watakula hata Na mendeee,,,, CCM mbele kwa mbele
Watakula hata Na panyaaaa, CCM mbele kwa mbeleee

Waipenda wenyewe, chaguo lao milele, namvimbe mpasuke, mtajijua wenyeywe, acha waisome namba eeenh CCM mbele kwa mbele
 
Sijui nicheke au nilie ila kwa sababu ni binadamu wenzangu Serikali itafute tu namna ya kuwasaidia ni ngome yao hii
 
Hata hivyo wagogo huwa ni omba omba..hapo wamepata sababu Ya kujazana mijini kuomba omba
 
Wangekua watu kutoka mikoa mingine wanakula wadudu hata mimi kapuku ningejipigapiga nitoe hata debe moja la mahindi, lakini kwa kuwa ni dodoma mi nasema acheni wavune walichopanda
 
dodoma ina hasili ya ukame, na kilimo ni cha msimu.. mvua zisiponyesha kwa wakati ndio tatizo la njaa ujitokeza.

pia ulaji wa wadudu ni desturi tu, ht wale wa kagera nao wanakula senene. ila inategemea na msimu.


Endelea kujifariji ewe kiwavijeshi fc.Kwa taarifa yako kuna kontena zaidi ya 1000 za viwavijeshi vya msaada vinaletwa nchini kwa ajili ya kuwaokoa wanaviwavi jeshi.

Posho ya b7 imefutwa rasmi,badala yake kila bandiko la wanamajipu a.k.a "Viwavijeshi fc" litalipiwa kwa beseni moja la viwavi jeshi.

CCM mbele kwa mbele.
 

Ni kweli inasikitisha sana, na sasa wakati umefika wa kila Mtanzania kujitolea kile alichonacho kusadia ndugu zetu, ni ajabu sana mtu kama fisadi Lowasa anajimilikisha ranchi yetu ya Taifa anajaza ng'ombe maelfu kwa maelfu kwa ajili ya kupiga nao picha tu wakati watu wetu wanakula wadudu, kwa nini kama kweli ni mtenda haki asijitolee lori moja tu lililojaa ng'ombe na kuwampelekea hao wanaokula wadudu?

Inasikitisha sana kwa kweli!



Lowassa anahusikaje hapo?
 
Back
Top Bottom