Recent content by Imma_Magira

  1. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania GE2025 MWABUKUSI nenda bungeni zinakotungwa sheria, kelele za nje ya Bunge ni too late

    "Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya“ Yani ulivyoanza kwa kauli hii, moja kwa moja nimeona kuna mapungufu kwenye uwasilishaji wako wa hoja; Yawezekana pia ni kwasababu huna maarifa/taarifa za kutosha. Bro..! "Unjust law is not a law at all" Sheria hazijawahi kutosha kukidhi mahitaji...
  2. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, Subiro Mwapinga akabiliwa na Mashtaka Marekani kwa Mipango ya kusambaza Silaha za Kijeshi kwa genge la biashara ya Dawa za Kulevya

    Uhalali wa Jambo kuwa sahihi au kutokuwa sahihi, haupimwi kwa kulinganishwa na jambo lingine.
  3. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kujua jambo 1 tu kuhusu Maisha yako ambalo bado halijatokea, utatamani kujua nini?

    Maisha yangu nimeweka "auto-pilot mode" yatakavyoenda ni sawa tu. In fact Mungu ndo muamuzi, atakayotaka kuyafunua kwangu basi atayafunua. Alikuwa na maana ya kutuficha baadhi ya mambo tusijue. But natamani kujua vyote ambavyo akili yangu itastahimili kuvibeba.😂
  4. Imma_Magira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thread ya Kujifunza Kiingereza pole pole [Thread for Learning English bit by bit]

    The correct answer is C
  5. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kielektroniki katika kukuza Utawala Bora na demokrasia nchini F Tanzania

    Kimsingi hili swala halipaswi kutekelezwa na chama tawala, aidha kama serikali haitoamua kulifanyia kazi basi kuna umuhimu wa kulazimishwa kufanya hivyo.
  6. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kielektroniki katika kukuza Utawala Bora na demokrasia nchini F Tanzania

    Na Emmanuel Magira. BHRM-Mzumbe University. UTANGULIZI. Katika karne hii ya 21, mapinduzi na mageuzi ya teknolojia yamechangia maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali. Miongoni mwa maendeleo hayo ni pamoja na kuwepo kwa mifumo wezeshi inayorahisisha ununuzi, utoaji huduma kwa wananchi na...
  7. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Unaibu Waziri Mkuu na uhusiano wake katika kukuza utendaji

    Na. Emmanuel Magira Werema Ifahamike na ieleweke kuwa maamuzi yoyote yanayotakiwa kufanywa na serikali ya nchi yoyote ile duniani, ni lazima yawe yamefanyiwa uchambuzi wa kina kwasababu serikali inaendeshwa kwa kuzingatia uhalisia (facts) na sio nadharia. Mfano serikali ikiamua kufikia maamuzi...
  8. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    Umeongelea kwa undani na mm binafsi nimekuelewa kabsa. Hivyo kama tumeyafaham haya matatizo yanayozikumba nchi zote za Africa, hivyo kipi kifanyike??? Ukijua solutions utagundua mambo si rahisi kama yalivyo[emoji1]
  9. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Shamira Mshangama aliyetoa hoja ya MKE kulipwa kwa kazi za ndani ana upeo mdogo wa kufikiri. Mke kulipwa ndio kutamfanya awe Housegirl haswa

    Hili chapisho, naomba lichapishwe Havard[emoji1] Hongera sana kwa ufafanuzi
  10. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa IPTL uliingiwa mwaka 1994 Rais akiwa Mzee Mwinyi

    Ni sahihi kabsa, na Nyerere aliyakubali hayo mabadiliko kupitia Mwinyi na sio kupitia yeye mwenyew, pengine hakuaka kuwa mnafiki kama viongoz wa leo...
  11. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Naomba kujua qualifications zako za elimu, coz unaonekana umemzid hata huyo professor [emoji23]
  12. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

    Ingawa hakuna utafti rasmi uliofanywa ila nakubaliana na wew
  13. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wanatutukana tu huko "Twitter Republic" na tunastahili

    Hapa hujatumia utashi kifanya maamuz
  14. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Je, kumpongeza Rais na Viongozi wa nchi kutimiza majukumu yao ni sawa?

    Je tangu utaratibu wa kuwapongeza na kuwashukuru uanze, je mabadilko yapo au hayapo? Na Je wakiacha kuwapongeza kasi ya kuwajibika itapungua??
  15. Imma_Magira

    JamiiForums Tanzania Je, kumpongeza Rais na Viongozi wa nchi kutimiza majukumu yao ni sawa?

    Na Emmanuel Magira BHRM‐Mzumbe, Kwa miaka kadhaa sasa, tumeshuhudia kampeni nyingi sana, za kuwapongeza viongoz wa nchi katika kutimiza majukumu yao. Mfano kama CCM wanavyofanya kumpongeza mwenyekiti wao wa chama. Zaidi ya hvyo tunaona mabango yaliyobandikwa kwenye taa za barabarani...
Back
Top Bottom