Kama yuko tayari kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi, mwandishi wa habari wa masuala ya kimataifa na, Mtangazaji na Mchambuzi wa siasa za kimataifa. Hizo ndokazi anazoweza kufanya kama asipooata kazi JWTZ, Wizara ya Mambo ya nje, TISS, uhamiaji na NGO zinazojihisisha na maswala ya migogoro ya...
Kina fanya watu waogope kuandika majina yao kwenye mali zao ni nini. Je umezipata kwa wizi? Mimi mali zangu ziko kwa jina langu au jina la kampuni yangu basi.
Upande wa pili njaa kali. Si unakumbuka walio fungua kesi kuhusu Mali za CDM na kusabisha kufungiwa kufanya kazi ya chama walikuwa ni dini gani? Hivyo ni heri viongozi wengi kuwa wagalatia maana otherwise CDM isingekuwepo leo
Hesabu hazisomi. Kwa jinsi hali ilivyo naona hakuna uwezekano wa kupata katiba mpya na kubadilisha sheria za uchaguzi kabla ya 2030. Hii ni kwa sababu CCM haina nia hiyo, Rais hana nia hiyo, vyombo vya dola havina nia hiyo.
Mpango uliokuwepo ni kufanya maridhiano fake na geresha za hapa na pale...
Bahati mbaya sana hakuna yeyeto mwenye uthubutu wa kuongea au kutoa mawazo yake kwa sasa.
Wajumbe wataenda pale watalipwa posho zao, watamsikiliza mwenyekiti ajenda ya kwanza, wataunga mkono, ajenda ya pili wataunga mpaka ajenda ya mwisho zote wataunga mkono. Kikao kitafungwa, picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.