Recent content by imija mrufo

  1. imija mrufo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Toa namba bwege wewe
  2. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Tozo kwenye mafuta zimepunguzwa, ila bei imepanda. Kuna sehemu tunakosea?

    Walijua bei ya dunia itapanda tena, hivyo mafuta yangepanda mara dufu. Ingeleta kelele. Wakakutana fasta na kukubaliana kuondoa baadhi ya tozo ili bei mpya isilete lawama kubwa. Wamecheza na akili za watu tu.
  3. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Tozo kwenye mafuta zimepunguzwa, ila bei imepanda. Kuna sehemu tunakosea?

    Bei ya dunia imepanda
  4. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuwasiliana na mtu aliyepo Afrika Kusini

    Si uende ubalozini aisee. Mbona haupo serious
  5. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa simu kwa muda mrefu

    Kwani we unaonaje? Inakuletea madhara yoyote? Ratiba zako za kufanya mambo mengine ya msingi haivurugiki? Kama unaona inakuletea madhara download app inaitwa YourHour...hii itakutia adabu.. addiction yote itaisha..na kama haujaamua kuondokana na addiction yako lazima uta uninstall hiyo app..
  6. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mchepuko aua Mchepuko kwa wivu wa mapenzi

    Helda toto la kihaya R.I.P
  7. imija mrufo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

    Utakuwa unazungumzia wanawake wa uswahilini..tofautisha wanawake wa pwani na wanawake wa uswazi. Mwanamke wa "Pwani" anajua sana thamani ya ndoa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. imija mrufo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri maana simuamini

    Mapenzi ya watu wawili sharti mtu wa tatu asiingilie. Tusije kusutwa siku za mbeleni Sent using Jamii Forums mobile app
  9. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Tulipoanzisha Mageuzi nchini hatukusema kwamba tutapinga Kila kitu,tuiunge mkono Serikali katika mapambano ya Janga la Corona

    Huwezi kumuita Mbowe mpinzani uchwara kirahisi rahisi hivyo, vinginevyo unafanya huu uzi uwe mavi ya kunguru Sent using Jamii Forums mobile app
  10. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

    Ili ukawatibu na kuwazika marehemu? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ni ujinga nchi kufikiria ina uwezo wa kukabiliana na COVID-19 kwa utaratibu wake wa ndani bila kujifunza kutoka kwa waliotangulia mapambano

    Dybala alikuwa akipona na vipimo vinathibitisha hakuna kirusi kabisa.. baadae inamrudia tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. imija mrufo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yakumbwa na baa kubwa la njaa, tayari watu 150k wanahitaji msaada wa dharura

    Kenya wamezidi mbwembwe sana..watapiga hodi tu kuomba chakula Tz Sent using Jamii Forums mobile app
  13. imija mrufo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

    Average speed yako ilikuwa ngapi pasipo vibao vya 50 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom