Recent content by imarilo

  1. I

    Ofa hii ni maalumu kwa maafisa ubashiri tuu..

    Kaizer Chiefs vs Orlando Pirates,Bournemouth vs Aston villa na Lazio vs Juventus
  2. I

    Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

    Hichilema kwa mara nyingine mfatilie Stambuli that kid is real baller.
  3. I

    Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

    Mkuu washauri Simba Omary Omary arudishwe Mashujaa af Simba wamchukue Idrissa Stambuli wa Mashujaa ambaye ni versatile player.
  4. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Nilichogundua wanazingua wote wawili hakuna msaada hapa,ni kutafuta utaratibu mwingine na kutawakal basi lakini kwa hawa viumbe utaishia kujidhalilisha na hakuna suluhisho.
  5. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Arsis tafadhali kwa mara nyingine nakuomba utuelekeze tiba ya kuondoa sheitwan wa kukufanyisha zinaa(jini mahaba) kwa sababu hii changamoto itapelekea kuvunja ndoa za watu wengi kwa sababu watu wenye uwezo wa kutatua jambo hilo ni wachache na kuwajua ni mtihani!, Ulieleza kikubwa ni taqwa,adhkar...
  6. I

    Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

    Mkuu,pole kwa yote uliyopitia lakini kumbuka hakuna replacement ya wazazi hata wazingue vipi na ndio maana baadhi ya wazazi wasio na hekima huchukulia kama fimbo ya kunyanyasa watoto wao. Ushauri!! Nenda kawaombe radhi ukiwa na viongozi(kiongozi wa dini wanaemuheshimu sana). Usijaribu kudate...
  7. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Simba/Arsis samahan kwa swali hili lililo nje ya mada mnayoendelea kuiwasilisha jukwaan lakini naomba niulize kwa sababu limenipa utata sana,swali lenyewe ni juu ya tafsiri ya ndoto niliyoiota usiku wa kuamkia leo ni kwamba, Nimeota tunaongea na marehemu kaka yangu aliyefariki miezi 3 iliyopita...
  8. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Teh!! Mshkaji wake Maywether unaiomba farakh kitaalamu Teh!! Napita tu ndugu!!
  9. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Nilimaanisha ukiona watu wanakuomba uwape connection ya matibabu ujuwe wapo desperate na tiba,pia ni wewe ambaye umesema mahusiano yako na hao viumbe sio ya Kishirikina sasa unasita nini kutoa connection watu tustafidi kupitia wewe?? Pia baadhi ya maswali haujibu kwa mfano nilikuuliza kuna...
  10. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Nilikujibu nipo Green City
  11. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Ulitaka kusemaje ndugu
  12. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Sema Arsis anakwama sana ukiona watu wanaj Tuna share issue moja hivyo hivyo namie ila ibada nafanya sana tu ila akiamua balaa lake hata iwe mwezi wa ramadhan na mchana umepata kailula anakuzingua tu. Mbaya zaidi anaweza amua kwa mkeo ukashindwa kupiga show af kwake usiku huo huo ukaota mara2...
  13. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Hapana Kaka nipo Green City
  14. I

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mkuu Samahan I! Nina changamoto kubwa kulingana na namna ulivyoeleza na majibu ya arsis nimekua interested sana huenda nkapata nusra kupitia kwenu na sheikh bakora Nina changamoto ya jini ambaye hunifanyisha zinaa ndotoni tangu nikiwa secondary mpaka hivi sasa ingawa nmebahatika kuoa na nina...
Back
Top Bottom