Recent content by imaney

  1. I

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    kumbe ulikuwa hujui? karibu kilimanjaro....
  2. I

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    Sasa km umeoa na uko happy,umepata jinga jinga hata kukuchallenge haliwezi shida ya nini,kuja kutusema wadada wa JF hatuolewi ni nini??? si utulie na mkeo huko?:thinking::thinking::thin king::thinking::thinking::thin king::thinking::thinking::thin king::thinking::thinking::thin...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife materials ni shida

    Basi wenye wake km vinyago...watakavyokupiga vita..😂😂😂😂😂
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Lol mwajei,umenichekesha sana
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

    Samehe tu wangu,sijui ana matatizo gani leo....lol
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

    Barasu nimekupenda bureee u mstaarabu sana.....mwah be blessed
  7. I

    JamiiForums Tanzania tuongee ukweri wanaume wenzangu je unaweza kufanya jambo hili kwa mpenzi wako

    Halafu wakipata haoooooo...lol
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupitia MMU & JF, Je ni wangapi? wamepata wapenzi wa kweli mpaka kufikia kuwa mke au mume

    Mnh wewe nizingue tu...ujumbe niliotaka kukupa umeupata...Mungu wa mbinguni akuongoze...lol
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupitia MMU & JF, Je ni wangapi? wamepata wapenzi wa kweli mpaka kufikia kuwa mke au mume

    Unafanya nini Jf..lol huku ni binadamu sio magari....nadhani ni mgeni,siku zinavyoenda kauli zitabadilika tu....hata sisi tulianza hivyo hivyo...
  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    And is it ok kwa wanawake wa kiafrica kubeba mizigo ya wengine?
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Eeeh kwa heri,naona haupo hapa for discussion.....mtu akikuchallenge kidogo unawaka...huwezi kuja kny forum km hii na kuja na stupid statement wanawake wa siku hizi wana akili za kushikiwa halafu ukiulizwa why umekuja na hii conclusion hutoi majibu?!..... Halafu mbona mnatuletea watoto tunalea...
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usivunjike Moyo

    Nimeipenda ubarikiwe..ila una kithembe kweli au unatoka kule kwa mama dhetu na baba dhetu?lol
  13. I

    JamiiForums Tanzania Filisika ujue tabia ya mkeo

    Na wanaume je?????wake zao wakifilisika??lol
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 28 February 2015 harusi yangu

    Hongera sana mkuu...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Huwezi kufuta the fact kwamba he/she is his/ her biological father...km mtoto unamlea vizuri siku zote ata appreciate juhudi zako!....ni vizuri kumwambia baba yake halisi ajue he has got two fathers...ukimlea ipasavyo,atawathamini wote wawili... Kisha mkuu usitutusi wanawake akili zetu sio za...
Back
Top Bottom