Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kuna some truth ila umeiweka vibayavibaya!
Hakuna binadamu ambae ana tabia fulani kwaajili ya kuolewa/kuoa na mwingine ana tabia fulani kwaajili ya kuishi tu bila kuolewa/kuoa ....
Habari ya siku?
Kuna some truth ila umeiweka vibayavibaya!
Binadamu yoyote ambae anatafuta mtu mwenye tabia fulani ili awe mkewe au mume mtu huyo ni dhaifu na hajui maisha yana maana gani
Habari yako mkuu?
Binadamu yoyote ambae anatafuta mtu mwenye tabia fulani ili awe mkewe au mume mtu huyo ni dhaifu na hajui maisha yana maana gani
Habari yako mkuu?
Habari zangu nzuri Mkuu nazipenda pia. Habari ya masiku kaka Mkubwa, Umeadimika sana, tunakosa zako nyingi Hekima, busara na elimu Mkuu. Natumai mmevuka mwaka salama na wale wote uwapendao.
Karibu sana, nafurahi kukusikia tena kaka Eiyer.
Fafanua mkuu Eiyer
Mmmh, Vip Na Upande Wa Wanaume Tuchague Vip? Mana Weng Sura Hzooooo
Kaka namshukuru sana Mungu niko salama kaka ....
Kaka huku siku hizi naona kama kunawafaa wengine kaka,mambo yamebadilika sana siku hizi hadi tunaweza kuchangia halafu watu wakatushangaa kwasababu ya mitazamo tofauti na watu ambao tunachangia nao kaka
Mara moja moja sio mbaya kuonekana huku kaka!
Karibu sana usipotee hivyo Kaka Mkubwa. Nakubaliana nawe tunaelekea kudorora na mada za ajabu ajabu sijui ndio vijana wa kileo au ndio mtindo wa kileo au ndio uleo huo.
Hii mitazamo tofauti ndio inawasaidia wengine pia kujifunza japo hutawaona wakiapreciate lkn mahali na mahali lazima kuna watu wanajifunza kimya kimya. Usichoke Mkuu changamoto zako huwa wengine zinatupa kukitazama kitu au jambo kwa mara ya pili na kwa upande wa pili tena.
Nikutakie mwama mwema sana kwako.
Basi wenye wake km vinyago...watakavyokupiga vita..😂😂😂😂😂
tafuta mwenye sura nzuri.. wapo,, ooops!!! tupo....!!!
Mkuu kama mke anatabia ya umalaya mume anatakiwa abadilikaje?
Eeeh sawa bwana. Mapolygon tuna shida hivi kumbe huwa tunatia kinyaa pia? But I hope kila mtu Mungu alimuumba kwa makusudi yake....
mwanamke sura + mwanaume pesa = balanced family.Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye tabia na mienendo mizuri (wife materials). Ndiyo maana kukawa na usemi kuwa uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia. Lakini imedhihirika pasipo shaka kuwa wanawake wengi ambao ni wife materials hawavutii kwa sura na shape. Wapo wapo tu na ndiyo maana wananyenyekea kwa wapenzi wao na watu wengine na hivyo kutafsiriwa kama wife materials. Na hii ndiyo sababu ya wanaume wengi kuchepuka na kuwafuata hao wenye shape na sura zao nzuri ila wamepungukiwa tabia nzuri. My take: Ili usichepuke tafuta mke atakaye amsha hisia zako. Usiangalie tabia nzuri kwani wewe mzazi wake? Au wewe ni kasisi/shekhe? Unaenda kuitumia wapi hiyo tabia. Lengo hasa (specific objective) la ndoa ni mgegedo. Sasa unaenda kuoa polygon kisa tu lina tabia nzuri, siku 2 unakuwa umelichoka unasikia kinyaa hata kufuatana nalo mtaani ama kulitoa out. Kwann unajibebesha dhambi bure? Unachukua dubwana likizaa mzao mmoja linaonekana kama mamako mzazi. Mkiongozana linapewa shikamoo halafu wewe unaambiwa za saa hizi kaka. Acheni hizo mwanamke ni shape na sura tabia nzuri akamuonyeshe baba yake.