28 February 2015 harusi yangu

28 February 2015 harusi yangu

Duhh...kwa hiyo wanachama tunapungua tuu...tunasikitika kukupoteza mwanachama mwenzetu wa chama cha ukapera....Tunakutakia kila LA kheri katika hilo chama LA stress unalohamia...

All the best...
 
Duhh...kwa hiyo wanachama tunapungua tuu...tunasikitika kukupoteza mwanachama mwenzetu wa chama cha ukapera....Tunakutakia kila LA kheri katika hilo chama LA stress unalohamia...

All the best...

Asante sana mkuu na karibu sana
 
Aaaaaaaah.Mbele kidogo ya ukumbi wa Mkapa,kuna bar ya Karembu. Waweza kunywa pale kisha ukaja ukumbin

Duu! Pale Kalembu kuna nyama choma za nguvu nitashindwa kula chakula cha harusi mkuu.
 
asee me niko mbeya..nitakuja kumchungulia bi harusi
 
Tarehe 28 Feb, maana yake umechukua 14 + 14 ? (Valentine)
 
asante usitufanye kama mkuu wakisure na lile bonge la part had wa leo dah ni sheeed
 
Back
Top Bottom