Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

Hujui nilipo.

Acha kujifanya unajua

Hujui chochote.

Shukrani yako kaisokomeze where the sun don't shine

Sucker.

Mkuu nimekustahi bado unaendeleza maneno ya dhihaka? Haya, niwie radhi. Hata mimi naweza kutumia maneno kama unayotumia. Ustaarabu sote tumepewa bure.
 
Na hiki ndo wananchi wamekataa! Watu wameshinda wananoa shoka,panga nk. Kesho me hata biashara sifungui..!

Kama wamekataa kushikwa mateka na hao wahuni safi sana.

Na nasema wakikamatwa wapigwe tu hadi wafe.

Sina huruma na wahalifu watumiao vurugu zinazohatarisha maisha ya wananchi.

I say kill them mercilessly.
 
Intelegensia ya polisi Tanzania ni kwa ajili ya vyama vya upinzani tu. Huko ndio hawalali. Wapo macho saa 24!
Kuzuia uharifu haipo kwenye orodha ya kazi zao labda itokee tu.

Kwa hiyo badala ya kuwaita usalama wa raia tuwaite usalama wa wanasiasa?
 
Mkuu, toa mfano wapewe ajira gani?
Hali ya sasa ya uchumi ni mbaya sana watu ambao kutokana na uchumi wangejiajiri au kuajiriwa kama mafundi ujenzi, madereva, wapishi, washoni, wafua vyuma hata wasusi-hizi zote ni ajira zinazoweza kuweka pesa mfukoni, hivyo chakula nyumbani.

Siyo siri kwa sasa serikali imejisahau, na mambo haya kujitokeza sasa si bahati mbaya.
 
Halafu ooh, Tanzania ni kisiwa cha amani.
 
Hapa hata mimi huwa sielewi hizi hasira kali huwa zinapotelea wapi kwa panya road!?

Kuna basi kumi zimepelekwa Mtwara kuwaleta Wamakonde Dar ili wale hao panya road maana kule Ntwara panya ni kitoweo kizuri.
 
Wewe lazima utakuwa kibaka...au una maslahi na vibaka au unajifunza ukibaka....moto wa tairi unakusubiri..

Atakua hajawahi kuibiwa maana iliujue limit ya hasira yako subiri uibiwe hapo ndipo utakapoona ubaya wa kibaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom