Recent content by imam hamzah

  1. I

    JamiiForums Tanzania Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Kumbe shida yako ni dini ya rais aliye madarakani. Unuruka ruka viwanda, umeme nk kumbe udini tu ndiyo unaokutesa. Waislam wapo, wataendelea kuwepo na watatawala kama kawaida. Wewe utaorodhesha yote, lakini watatawala. Kama Nyerere alimuachia nchi Muislam, wewe ni nani?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

    Wakati Nyerere anaondoka mwaka 1985 ulikuwa wapi na ulikuwa na umri gani? Kwa tàarifa yako Nyerere aliondoka kwa kuwa nchi ilifirisika. Ilifirisika mikononi mwake kutokana na sera zake. Viwanda vilikuwa magofu, havikuwa na uwezo wa kuzalisha Mali, maana ni kama vilikufa. Havikuwa na uwezo wa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Safari za SGR kutoka Dar - Moro zimechelewa kwasababu ya hatuna Vichwa vya Treni

    Kilometa 160 kwa saa, Aboud zitafute pa kwenda.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tanzania nzima hawazitaki mashine za kamari za kichina ila Serikali kuu chini ya Mwigulu inaziruhusu

    Machine za kamari ni janga, serikali iziondoe haraka
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa atakalolifanya Makonda ni kutolipiza kisasi

    Alipe kisasi kwa cheo gani alichonacho? Msemaji wa chama ni mtu mdogo sana kwenye chama. Hata hivyo kwenye chama hicho ni yeye ndiye mwenye tuhuma nyingi kuliko hawo unaotaka awalipizie. Ajaribu tuone vita ya Dunia
  6. I

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni utaratibu wa kudai maiti Hospitali za Serikali

    Shida iko wapi ikiwa vyote hivyo vitatolewa bure? Nchi imeejaliwa kila aina ya raslimali, wezesha huduma za kijamii ili jamii ifurahie uwepo wa raslimali kwenye nchi yao. Kama hamuliwezi hilo ondokeni madarakani wenzenu walifanyie kazi
  7. I

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wamekosa bus la kuwafikisha Brazil au wanaonyesha ufahali?😂😂😂
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Afrika ni mgumu na wa ajabu sana, usiposhinda nyumbani kwa mabao mengi imekula kwako

    Mechi mbili za fainali ni kituko. Caf waachane na fainali mbili tufurahie mchezo wa soka
  9. I

    JamiiForums Tanzania Washkaji wenye Afro mnafanyaje nywele zinakuwa nyingi kiasi hicho

    Kutana na watalam bingwa wa nywele wakushauri aina ya mafuta na dawa zinazofaa kulinda nywele zako. Pia Baadhi ya maji tunayotumia kuoga (kuosha nywele) siyo salama kwa afya ya nywele
  10. I

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Wakuu kwema humu
  11. I

    JamiiForums Tanzania Jemedari: Mpira wa Tanzania umejaa watu wajinga

    Jemedari amenena vema. Mashabiki hawataki kujifunza kanuni za mchezo wa soka. Wanataka ushindi tu. Wapuuzi wakubwa
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

    Hili siyo jambo geni, maana hata huko vijijini kuna bàdhi ya wananchi hawajawahi kufika makao makuu ya wilya na mikoa waliyozaliwa.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hii siyo poa mkuu. Daaa
Back
Top Bottom