Recent content by i'm osama

  1. i'm osama

    Mukama ameikejeli Katiba!

    teh teh teh!! hata kama ni cha IFM kosa likowapi km lengo la chama ni kuwakomboa wanyonge?
  2. i'm osama

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    hizi sasa bange kweli kweli.
  3. i'm osama

    hodiii

    teh teh teh!! hunipati ng'oooo.........
  4. i'm osama

    Jerry Muro, wapi alipo?

    hayo matatizo alonayo ingekuwa ni wewe na ukaona mtu ameanzisha thread kama hiyo ungejisikiaje?
  5. i'm osama

    Osama bin Laden killed!

    picha mkuu, au mpaka twende kwenye blog yako.
  6. i'm osama

    hodiii

    mkuu asante
  7. i'm osama

    Hussein Bashe aongea na vyombo vya habari

    kiswahili kinakusumbua, typing pia kwenye red, ufahamu wa mambo, ubishi usokuwa na tija.
  8. i'm osama

    huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI?

    hapo kwenye red ndo unatakiwa na wewe uwe hivyo ili tuwe wengi tunaopigania nchi yetu. vinginevyo una wivu na nyota ya dogo.
  9. i'm osama

    Osama bin Laden killed!

    nipo wajameni, nilikuwa tabora niliposikia hizo hbr eti wameniua, wataniweza wapi hao?
  10. i'm osama

    hodiii

    teh teh teh teh!! hata tanga wapo, ujiji wapo, singida wapo, morogoro wapo, nashanga....
  11. i'm osama

    hodiii

    mbona unaniogopesha black woman? ntakimbia ohooo....!! kumbe hujui zangu za kusepa kila nikiona noma.
  12. i'm osama

    hodiii

    by the way, nabisha hodi ndani ya JF tushindane kwa hoja bila matusi wala kejeli, nilijifunza kiswahili hapa hapa bongo, msishangae muarabu kuandika kiswahili cha kisela.
  13. i'm osama

    hodiii

    hi wana JF, kwa mara ya kwanza najitokeza, nipo hai, km huamini onyesha mwili wangu nikwa nimeuawa.
Back
Top Bottom