Recent content by ilovebrenda

  1. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Mwenye wimbo wa Tongolanga, mpenzi sanura naomba atuwekee hapa nitashkuru sana
  2. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Shimo hili hatari

    Nimekuja haraka nikijua lile shimo mnato aisee... duh. Mawazo mabaya sana haya
  3. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Ma sister wa catholic church wapata mimba

    Ilitakiwa waseme mapema sasa
  4. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Aisee
  5. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Ahsante mkuu
  6. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Jaji ni neno la kiswahili au kiingereza? Kama ni la kiingereza, tutaliitaje kwa kiswahili?
  7. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Lakini 'jaji' ni neno la kiingereza JUDGE maana yake ni HUKUMU kwa hiyo mtenda ni hakimu, naomba unisahihishe mkuu.
  8. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Soma kontenti, mbona ni fupi tuu mkuu? Hakuna nilipoandika wakili, labda unaanzisja uzi mpya ndani ya uzi huu mkuu
  9. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Hivi jaji ndio wakili siyo ...
  10. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Mabaharia oyeeee. Sisi mabaharia kazi ya majini inatukosesha kufahamu mengi hata ya kawaida tuu, kwa mfano juzi wkt mheshimiwa anawaapisha majaji pale mjengoni tukaanza kubishana bwana... wale mahakimu, mara wale ni majaji. So mabaharia wenzangu wa nchi kavu hebu tusaidieni, hivi hakimu ndio...
  11. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Sifurahiii wala sitaki kuona mwanamke anatoa mimba, ila kwa hali hii hebu tuseme tu ule ukweli "afanyeje"??

    Kutoa mimba siyo solushen, kila kiumbe kina haki ya kuishi no matter what. Kwani watoto wangapi wanalelewa na wababa wasio wakwao? Kuna masingomaza wangapi wanalea watoto wao wakati wanaume waliosababisha wapo na wanajulikana kabisa, tena bora kwa kesi hii mwanaume hajulikani. Kutoa mimba ni...
  12. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Natamani kumpiga Mjamzito, naona kama anaanza kunidharau

    Mkuu umenena vyema sana
  13. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Bado nasubiria wajuvi
  14. ilovebrenda

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomba jinsi ya kuangalia idadi ya android kwny sim yangu mkui
Back
Top Bottom