Shimo hili hatari

Shimo hili hatari

rmjusi

Senior Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
157
Reaction score
167
Habari za saa hizi wandugu, niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna shimo ambalo lipo maeneo ya barabara ya sita na ya Mwanza jijini Dodoma ni hatari kwa watembea kwa miguu. Tunaomba mamlaka zinazohusika zilishughulikie.

Ahsanteni.

IMG_20191106_162853_0.jpeg
 
Kwahiyo unataka serekal ndio ilizibe?
 
Nashangaa hili shimo linaonekana lilichimbwa special kabisa na juu lilizibwa kwa jinsi lionekanavyo,
Sasa bado najiuliza walilichimba hapo kwa mantiki gani..?
 
Nimekuja haraka nikijua lile shimo mnato aisee... duh. Mawazo mabaya sana haya
 
Hili si lipo kwenye Ile barabara ya kuelekaea Chatle
 
Hilo sio hatariii ata mbona la kawaidaaaa................ yaliyoko bandari salama ni hatariiiiiii

kwa mfano lile la KIWIRAAAaaaaaaaaa.......kile kijungu kinameza maji ya mto woteee ...halafu kinacheulia mbaliii baada ya wiki ka moja ama mbili
 
Back
Top Bottom