Recent content by illuh

  1. illuh

    CHADEMA kwanini msiende Mahakamani kupinga zuio hili linalopingana na Katiba ya nchi?

    ila kweli Lowasa ni nani sasa hivi ktk chama ikiwa keshakosa urais??
  2. illuh

    Uchaguzi wa Sheikh Mkuu wa Tanzania

    Wajua me sioni hata kama kuna sababu ya kulaumu baraza...si sahihi... Dini ya Kiislam haimlazimishi mtu kutoa sadaka, haina kiwango cha sadaka. Basi kutokana na hayo wengi wao washazoea kutoa sadaka sh. 100 mwingine hata kutoa hatoi kabisa....Zaka na sadaka wengine huwapa watu masikini n.k...
  3. illuh

    Lowassa hatakiwi kabisa kuhama CCM kwenda upinzani

    Me ningekuwa wa karibu ya Lowasa ningemshauri asihame CCM kwenda CDM kisa ni kukosa uraisi na kwenda kusaka urais CDM...Maana akikosa nahisi ataweza jitundika kwasababu anauchu sana wa Madaraka.. Vile vile nahisi atakosa tuu kwasababu tayari ashawahi pata doa la ufisadi. Na CDM wakimpokea...
  4. illuh

    Pendekezo:Kikosi maalum cha kupambana na ugaidi

    Naimani watu wakiondoa ule UMIMI, UDINI, baasi tutabadilika na kupambana na hivi vitu....Utamjua mtu anaudini tuu hata kwa comment zake... Unatakiwa usizungumzie dini yangu NZURI ongelea DINI ZETU nzuri..... Tukiondoa umimi, uwangu tutafanikiwa...Tukirudia ilivyokuwa enzi za nyuma, Mtu akimuona...
  5. illuh

    Pendekezo:Kikosi maalum cha kupambana na ugaidi

    Hivi vikundi vinavyoashiria kuelekea kuja kuwa magaidi vipo kibao...Hao Panya road, Mbwa mwitu ni hao hao baadae wanakuja kuwa magaidi ikiwa serikali haichukulii kwa umakini makundi haya...Leo hii wadogo wanaitwa panya wakikuwa hao wataitwa Magaidi na roho zao za mauaji zitakuwa zishakuwa sugu...
  6. illuh

    Mch. Gwajima amgomea Makonda

    Naisikikia harufu kwa umbaali ya Gwajima kutulizwa kimya kimya..... mkono wa serikali....haina dini...wala urafiki..
  7. illuh

    Pozi la ruhusa

    umeonaeeeh Chezea Pengo wewe
  8. illuh

    Begi la askofu mgonjwa

    HAHAHAHAHA fimbo badala ya kumchapa Pengo imemrudia mwenyewe... Me huwa Pengo namuaminia...Haongei hovyo ila akiongea kaongea point.......Utawawezaje washika waumini masikio wasifanye kitu fulani wakati kila mmoja ana uhuru wa kupigia kura anachopenda na kila mmoja anaakili timamu...Angalia sasa...
  9. illuh

    Picha ya Kinana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma yazua mjadala

    MHHH anachapa kazi dakika za mwisho karibu na uchaguzi, kuwatoa watu matongo tongo ....alikuwa wapi siku zote hizo?
  10. illuh

    Moyo mpweke

    mbona sana tuu tushapitia huku kwa hivi........................
  11. illuh

    Brother vip tena……?

    ndio kanenepesha lips !!! duh balaaaaaaaaaaaaa
  12. illuh

    Katulie kwa mumeo sasa

    hahahahahaha hehehehehehe wapambaji wengine bwanaa!!! Huyo mpambaji akutane na mie bi harusi kigego hiyo makeup akimaliza naitoa yoote najiremba mwenyewe...
  13. illuh

    Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

    mamaaaaa dooohh umenikumbusha mbaliii.....ama kwa hakika watoto wa sasa hawachezi...Umenifanya nikumbuke na mingine.......
  14. illuh

    Wa ukweli huyu hapa

    NI NGUMU SANA KUPATA MWENYE SIFA ZOTE HIZO HAPO kwa ulimwengu huu.....atafanya akiwa bado mgeni, ugeni ukiisha akiwa mwenyeji mambo yanapungua..
  15. illuh

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    tatizo albadiri za siku hizi hazina uzito....Masheikh wenyewe madhambi kibao......
Back
Top Bottom