Uchaguzi wa Sheikh Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi wa Sheikh Mkuu wa Tanzania

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Wakuu,

Sheikh Mkuu wa Tanzania anachaguliwa kati ya kesho au kesho kutwa, tunaomba wenye taarifa kamili juu ya taarifa hii watuletee jukwaani ili tujue walau mawili au matatu juu ya uchaguzi huu.

Itakumbukwa kwamba uchaguzi huo unafuata baada ya Baraza Kuu la Waislamu nchini (Bakwata), kupitia Baraza Kuu la Masheikh wa Ulamaa, kumteua kwa kauli moja Julai, 2015 Sheikh Abubakar Zuberi, kuwa Kaimu Mufti wa Tanzania kwa kipindi cha mpito cha siku 90 baada ya kifo cha Sheikh Mkuu, Issa Shaaban bin Simba.
 
Mapengo 17

naomba kuwashauri ndugu zetu mngevumulia kwanza hadi uchaguzi mkuu uishe ndo mfanye huo maana muda huu attention ni kubwa kwenye siasa kuliko sehemu yeyote ile
 
Last edited by a moderator:
Kichefu chefu kingine kinafuata.... Waislam wanahitaji Mufti ambaye ni reformer, atakaeibadili utendaji wa BAKWATA mwanzo mwisho, atakae rejesha Mali zote za Waislam ... Atakae kata kutumiwa na CCM kwa maslahi ya Mafia wa Vatican .. To be honest mimi sijamuona mpaka sasa
mapengo
 
Last edited by a moderator:
Baraza gani hadi Leo halina vitega uchumi vya kueleweka, Wameidumaza Kinondoni Muslim, Roho inaniuma zaidi nikiangalia wanavyoiua Al haramain....Wapo kwenye eneo zuri pale, very potential ila angalia vile vifremu kama vyoo...
Ukiingia kule ndani ule msikiti unaweza kulia....yani hadi Leo wanatumia msikiti wa muda uliojengwa miaka ya 60 huko sijui 70...
Aaah BAKWATA Allah awaongoze....
 
ndugu, Life goes on.... taharuki za kimaisha na kijamii zina umuhimu wake pia.!!
 
Hio ni taarifa na Uchaguzi wa Upande mmoja sio Muhimu kiasi ya kila mtu kufuatilia.

Ni vyema watu wakaelewa kuwa kila mtu anahisia ya kufuatilia jambo lolote analolihitaji.
 
Kichefu chefu kingine kinafuata.... Waislam wanahitaji Mufti ambaye ni reformer, atakaeibadili utendaji wa BAKWATA mwanzo mwisho, atakae rejesha Mali zote za Waislam ... Atakae kata kutumiwa na CCM kwa maslahi ya Mafia wa Vatican .. To be honest mimi sijamuona mpaka sasa
mapengo

tupo pamoja masheikh ubwabwa,kanzu kubwa late gologosi
 
Last edited by a moderator:
Ili iweje? mufti wote waliopita veo vyao vinaonekana kwenye kutangaza mwezi mtukufu wa ramadhani, siku ya idd, na shuhuli zinazohusiana na maulidi. Ukweli ni kuwa mambo hayo yanaweza fanyika bila hata mufti. Changamoto zinazowakabili waislam ni nyingi mno. mabadiliko na maendeleo yanayotokea duniani na tanzania yanazidi kuongeza changamoto kwa waislam. Bahati mbaya hakuna anayezizungumzia changamoto hizo, inaelekea hawazijui.

Wakuu,

Sheikh Mkuu wa Tanzania anachaguliwa kati ya kesho au kesho kutwa, tunaomba wenye taarifa kamili juu ya taarifa hii watuletee jukwaani ili tujue walau mawili au matatu juu ya uchaguzi huu.

Itakumbukwa kwamba uchaguzi huo unafuata baada ya Baraza Kuu la Waislamu nchini (Bakwata), kupitia Baraza Kuu la Masheikh wa Ulamaa, kumteua kwa kauli moja Julai, 2015 Sheikh Abubakar Zuberi, kuwa Kaimu Mufti wa Tanzania kwa kipindi cha mpito cha siku 90 baada ya kifo cha Sheikh Mkuu, Issa Shaaban bin Simba.
 
Ni kweli ulivyosema, lakini je vigezo vya kumchagua mufti vinaendana na uwezo wa kutatua changamoto hizo?. Je baraza linafahamu changamoto zake? je shuhuli za uchumi kama zipo zisimamiwa na watu wenye elimu na ujuzi gani? haya ndio matatizo ya waislam. Tuendelee kujadilianal

Baraza gani hadi Leo halina vitega uchumi vya kueleweka, Wameidumaza Kinondoni Muslim, Roho inaniuma zaidi nikiangalia wanavyoiua Al haramain....Wapo kwenye eneo zuri pale, very potential ila angalia vile vifremu kama vyoo...
Ukiingia kule ndani ule msikiti unaweza kulia....yani hadi Leo wanatumia msikiti wa muda uliojengwa miaka ya 60 huko sijui 70...
Aaah BAKWATA Allah awaongoze....
 
Wakuu,

Sheikh Mkuu wa Tanzania anachaguliwa kati ya kesho au kesho kutwa, tunaomba wenye taarifa kamili juu ya taarifa hii watuletee jukwaani ili tujue walau mawili au matatu juu ya uchaguzi huu.

Itakumbukwa kwamba uchaguzi huo unafuata baada ya Baraza Kuu la Waislamu nchini (Bakwata), kupitia Baraza Kuu la Masheikh wa Ulamaa, kumteua kwa kauli moja Julai, 2015 Sheikh Abubakar Zuberi, kuwa Kaimu Mufti wa Tanzania kwa kipindi cha mpito cha siku 90 baada ya kifo cha Sheikh Mkuu, Issa Shaaban bin Simba.

Mapengo,
Mtu hawezi kuchangia chochote chenye tija kuhusu BAKWATA bila ya kwanza
kujua historia yake.

Wanamajlis,
Ingieni hapa muanze na sehemu ya kwanza hadi ya nane:
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA KWANZA

Huu ni mkasa na kisa cha kusisimua katika historia ya Waislam wa
Tanzania Bara na athari yake bado ipo baada ya miongo minne kupita.
 
Baraza gani hadi Leo halina vitega uchumi vya kueleweka, Wameidumaza Kinondoni Muslim, Roho inaniuma zaidi nikiangalia wanavyoiua Al haramain....Wapo kwenye eneo zuri pale, very potential ila angalia vile vifremu kama vyoo...
Ukiingia kule ndani ule msikiti unaweza kulia....yani hadi Leo wanatumia msikiti wa muda uliojengwa miaka ya 60 huko sijui 70...
Aaah BAKWATA Allah awaongoze....

Wajua me sioni hata kama kuna sababu ya kulaumu baraza...si sahihi...
Dini ya Kiislam haimlazimishi mtu kutoa sadaka, haina kiwango cha sadaka. Basi kutokana na hayo wengi wao washazoea kutoa sadaka sh. 100 mwingine hata kutoa hatoi kabisa....Zaka na sadaka wengine huwapa watu masikini n.k hawaitoi misikitini au mashuleni kusaidia ujenzi hii ndio maana misikiti na shule hizi za kiislam zinakuwa hazipo katika standard nzuri.

Dini nyingine zinahimiza hasa utoaji wa sadaka yaani lazima ndizo zinazotumika katk maendeleo mengine.

Sisi huyo ustadh au sheikh anayesalisha halipwi...so msilamumu. Dini ya Kiislam ni yahiari kutoa...Kama wewe unaona vitu vibaya je umejitoa vipi katika kusaidia hayo? Maana ni ruksa kujitoa kusaidia matengenezo, Malipo yako utayapata kwa Mungu wako...

Hawa wakuu wa dini waachwe kabisaa....Wewe nikikuuliza ipo siku uliyotoa msikitini sadaka ya LAKI MOJA? nahisi hakuna
 
Mimi mwenyewe nahitaji laki moja....Tuacheni kasumba ya kuhitaji misaada katika kila kitu jamani, ndo mana deni la taifa linakua kila siku...

Hivi pale Alharamain Kariakoo wana fremu zaidi ya 50 zilozojengwa kama choo, wanashindwa kuingia ubia na mwekezaji zikajengwa fremu za maana zikapangishwa kwa bei nzuri? Wanashindwa kuweka na mradi wao pale?

Wana shule pale, ada nzuri tuu, na Mashallah waislamu wanapeleka watoto wao, labda unambie shule inajiendesha kwa hasara.

Vipi fedha za wafadhili, haziwezi hats kujenga msikiti au hospitali moja ya maana tukajivunia? Mbona Islamic foundation wameweza? tens hawana support ya serikali. Labda unambie huwa tunafadhiliwa tende tuu za mwezi was Ramadhan...

Tusikatae jamani, kuna tatizo bakwata....
 
Sio waaminifu katiba ilekebishwe,muft awe na kipindi cha kuongoza,halafu misikit mibovu ni ya bakwata tu
 
Wajua me sioni hata kama kuna sababu ya kulaumu baraza...si sahihi...
Dini ya Kiislam haimlazimishi mtu kutoa sadaka, haina kiwango cha sadaka. Basi kutokana na hayo wengi wao washazoea kutoa sadaka sh. 100 mwingine hata kutoa hatoi kabisa....Zaka na sadaka wengine huwapa watu masikini n.k hawaitoi misikitini au mashuleni kusaidia ujenzi hii ndio maana misikiti na shule hizi za kiislam zinakuwa hazipo katika standard nzuri.

Dini nyingine zinahimiza hasa utoaji wa sadaka yaani lazima ndizo zinazotumika katk maendeleo mengine.

Sisi huyo ustadh au sheikh anayesalisha halipwi...so msilamumu. Dini ya Kiislam ni yahiari kutoa...Kama wewe unaona vitu vibaya je umejitoa vipi katika kusaidia hayo? Maana ni ruksa kujitoa kusaidia matengenezo, Malipo yako utayapata kwa Mungu wako...

Hawa wakuu wa dini waachwe kabisaa....Wewe nikikuuliza ipo siku uliyotoa msikitini sadaka ya LAKI MOJA? nahisi hakuna

Halafu kama wanajua hakuna kiwango cha sadaka ni lini walipitisha harambee kuhusu project flani kisha waislamu wakagoma kutoa...
Nakumbuka Wakati wa kuanzisha TV Imaan Islamic foundation walifanya harambee uwanja wa taifa, nilihudhuria na nilichangia kwa kiasi ambacho Allah ameniruzuku, Lini Bakwata walifanya? Iko wapi Redio Qur'an....

Kwa kweli siwezi kutoa sadaka ya laki moja hivi hivi tu msikitini bila kujua inaenda kufanya project gani wakati nyumbani Nina mjane na mayatima...NEVER uislamu haujanifunza hivo...Charity begins at home...ila kwa project maalum kama ujenzi wa msikiti hapo nitatoa....
 
Mimi binafsi ningependa yule Dr Khatibu (km sijakosea) agombee tena lkn mayooo wale wale tena
 
Back
Top Bottom