Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,738
Reaction score
42,832
11001682_862965387076000_4919110865318848962_n.jpg
Tupia neno kama uliwahi
kucheza mchezo huu.
 
mshana jr alikuwa wakishua michezo hii hajacheza.
 
Last edited by a moderator:
duh,mi ndio nilikuwa bingwa wa kukata vinyuzi vya watu,kisoda changu nilikiponda sana kikawa na mzingo mkubwa hivyo ilikuwa lazima cha kwangu kianze kugusa kamba yako,pia nilikuwa na mbinu chafu nyingi kama kuleta upandeupande au kukata kamba yako upande wa vidole..pia kamba yangu ilikuwa fupi,nilikuwa hatari lakini kwa mbinu mbinu tu kama chenge!
 
Back
Top Bottom