Recent content by Ilitarakimura

  1. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

    Lissu ni kiboko wa wakurupukaji/waropokaji
  2. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Marcus Cicero: Yeyote anayejaribu kuongoza nchi kwa kutumia hofu ni mwehu

    Hata wanaolipa kodi kihalali huwa hawajitangaz Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
  3. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Marcus Cicero: Yeyote anayejaribu kuongoza nchi kwa kutumia hofu ni mwehu

    Wenye uchum uliopanda kiuhalisia huwa hawajitangaz Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
  4. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Sasa mkuu TRA waonekane wanatumika kisiasa mara ngapi? ilhal wenye akili na uelewa tunaliewa hilo Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
  5. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Unaweza ukatuambia madhara ya hayo uliyoyasema Askofu kakobe atubu Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
  6. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Mungu ametupa zawadi leo kwa Mbunge Tundu Lissu kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist

    Baadhi ya Wanadamu hawakufaa kabisa kuzaliwa na kuishi katika Dunia hii,Inauma sana mwanadamu mwingine kumfanyia ukatili Mtu aliyezaliwa mzima kabisa na uzima wake na Mungu akamjalia kipawa(sheria)kwa faida ya wengi kama Lissu,sasa anataabika kwa kusema tu ukwel,ilhal wanafiki wakibaki...
  7. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Mfahamu T.O wa kike aliyeahidi kuolewa bila mahari ikitokea Mwanaume yeyote atampita

    Lakini mkuu,kuna mdau alileta humu mada na kusema miongoni mwa Wanawake Watamu,sifa zao ni macho makubwa
  8. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Huyu mdudu ana maana gani?

    Anaonekana ni wa pekee
  9. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kuwagegeda mademu wanaojiita matomboy yaani mademu wenye itikadi za kishikaji kishikaji

    Hao Watu wanakera mkuu,kuna kama Watatu wanataka mambo nami sina mzuka nao,l
  10. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Uteuzi wa wana-CCM wanaoomba dhamana ya M/kiti wa CCM na Makamu wa M/kiti wa CCM bara na Zanzibar

    Kwa hiyo ukiwa Rais kupitia mlango wa nyuma ni Mungu karuhusu?
  11. Ilitarakimura

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Uteuzi wa wana-CCM wanaoomba dhamana ya M/kiti wa CCM na Makamu wa M/kiti wa CCM bara na Zanzibar

    Usimsingizie Mungu,kwani Mungu anapiga kura!
Back
Top Bottom