Recent content by ilife

  1. I

    Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    Free connections: no strings attached dating Verified Maidens
  2. I

    VW models

    medicament comme le viagra sans ordonnance Laurinda jaffe pour des discussions utiles. Il est nГ©cessaire d'avoir des systГЁmes pour soucis, parlez-en Г votre mГ©decin. Deux Г©tudes avaient en parallГЁle ouvert des mГ©dicaments ou tandis que les premiers essais de thГ©rapie gГ©nique et...
  3. I

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Waki bet watu mil moja kwa siku (in 24 hrs) kila mmoja akaweka buku, acha wale wanaoweka pesa ndefu basi mapato yanakuwa hivi Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. I

    Natafuta Sehem ya kukaa zanzibar kwa mwezi mmoja

    Thanks ! Ngoja niijaribu
  5. I

    Natafuta Sehem ya kukaa zanzibar kwa mwezi mmoja

    Kama heading inavyosomeka , natafuta sehemu ya kukaa zanzibar/unguja kwa mwezi mmoja , kama naweza pata sehemu nayoweza lipia at least 200k per month itakuwa bora zaidi kuwe Kusafi na salama, chumba kimoja kinatosha kabisa nina kazi za mda mfupi huko Njoo PM tuongee
  6. I

    Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

    Sasa siku nzima unaangalia tv hizo na wewe si utakuwa wale wale tu , weka nat geo , discovery , super spot , bbc uone kama utakutana na ujinga.. Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. I

    Msaada youtube video HD zinasumbua kucheza kwenye PC yangu

    Inawezekana device yako hai support hiyo resolution , unaweza kuwa na ram kubwa na ukawa updated lakini pc yako haina support ya hiyo resolution . Hapo utahitaji ku convert Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. I

    Steve Job Last Words

    Hii ime editiwa sana tu , hayo ya Mwisho umeongeza mwenyewe
  9. I

    Apple yavunja rekodi,yawa kampuni ya Kwanza ya Marekani kufikia thamani ya Dola Trillion moja

    Jeshi la marekani halijawahi kubuni internet , kazi hizi kwa ufasaha kabisa huwa zinafanywa na makampuni au watu binafsi ... Kuanzia tu ingia wikipedia then angalia source zingine jeshi lilidakia hii technology juu kwa juu kwa kutoa fedha/fund kwa project za internet lakini mtengenezaji ni nje...
  10. I

    Apple yavunja rekodi,yawa kampuni ya Kwanza ya Marekani kufikia thamani ya Dola Trillion moja

    Hata Dar es Salaam maduka yanahesabika na penyewe ukienda hukuti wameziweka display kama simu nyingine . Sana sana yale maduka makali utakuta toy za iphone tu au kama zipo unakuta mbili tatu... ! Bongo asilimia zaidi ya 90 iphone zinazotumika ni used au za miaka ya nyuma. iPhone X zinahesabika...
  11. I

    Apple yavunja rekodi,yawa kampuni ya Kwanza ya Marekani kufikia thamani ya Dola Trillion moja

    Apple wana biashara nzuri , wana biashara ya faida kuliko kampuni yoyote duniani (Mapato toa matumizi) na Hii ndo mojawapo inawapandisha kwenye stock market wanakuwa juu .. usisahau pia kwamba apple wenyewe ni wakubwa wana products na service nyingi sana...
  12. I

    Apple yavunja rekodi,yawa kampuni ya Kwanza ya Marekani kufikia thamani ya Dola Trillion moja

    Siyo kweli , innovation huwa zinaingizwa jeshini toka kwa watu binafsi au makampuni.. Mpaka sasa vifaa vingi vya kijeshi haviundwi jeshini, vinaundwa na makampuni binafsi kwa mikataba maalum ..!
  13. I

    msaada apple

    App ziko kibao ila video vault hapo kwenye picha ndo the best (from my experience) iko Fasta na menu yake ni easy , Ina download toka site yoyote yenye video plus you tube videos ..
  14. I

    Ronaldo -Dybala mshtakiwa mpya

    Ronaldo came to Juvetus this season! This will be the prospect of fans of Turin! Here you will surely be connected with the juvenile Dybala Youth Games! This is probably a new soccer boy in football
Back
Top Bottom