Msaada youtube video HD zinasumbua kucheza kwenye PC yangu

TATA MKURIA

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
290
392
Wataalam wa IT habari!
Wakuu nna ka pc kangu Panasonic CF W5, nilimuona jamaa akaniwekea windows 10, 32bit. Na kanapiga kaz zang kama kawaida kwani sina matumizi makubwa zaidi ya documents zangu. Ishu inayozingua nikiingia net pc inacheza youtube video kwa kukwama kwama kama ina scratch, ingawa net ipo poa kabisa. Nifanyeje wataalam.
 
1. Hakikisha browser yako ipo katika latest versin
2. Hakikisha graphic card yako ina Latest Drivers
3. hakikisha una internet speed nzuri
4. Hakikisha PC yako ina Ram ya kutosha
All the best
 
Wataalam wa IT habari!
Wakuu nna ka pc kangu Panasonic CF W5, nilimuona jamaa akaniwekea windows 10, 32bit. Na kanapiga kaz zang kama kawaida kwani sina matumizi makubwa zaidi ya documents zangu. Ishu inayozingua nikiingia net pc inacheza youtube video kwa kukwama kwama kama ina scratch, ingawa net ipo poa kabisa. Nifanyeje wataalam.

Inawezekana device yako hai support hiyo resolution , unaweza kuwa na ram kubwa na ukawa updated lakini pc yako haina support ya hiyo resolution . Hapo utahitaji ku convert

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa mkuu
 
Una convert vp mkuu, sina utaalam mkubwa kwenye IT ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom