MGILEADI
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,621
- 1,545
mtu akimuelewa mtoa mada anitag naomba.
Hata mimi sijamwelewa kwani kichwa na maelezo hapo chini haviendi pamoja hata kidogo. Sioni mahali amerejea fikra yake ya "mshtakiwa" katika maelezo yake.
mtu akimuelewa mtoa mada anitag naomba.
Nakuunga mkonomtu akimuelewa mtoa mada anitag naomba.
Na uskute ameshavutaMleta mada ni "madam"...nafkiri mtakua mshanielewa
Ni kuchoshana tu jamaa kaamua hivyo